Car4Sale Noah kwa bei ya kanisani

Car4Sale Noah kwa bei ya kanisani

NAKUTAFUTIA GARI KWA OFA YAKO

IWE IST, PASSO, SIENTA, NOAH, WISH, CARINA ,MWITA, RAUM, NADIA, SUZUKI CARRY, RUNX, ALLEX, PORTE N.K

0744033555 Dar es salaam
Hii MWITA ndio gani Specialist!??
 
2.1Milion tumalize kazi mkuu
Nataka Runx Bei yng 2.5ml mzee baba
Hizi hela bado ziko below average

Kwa ushauri tu kaeni mjadiliane pamoja muunganishe nguvu kama kweli mnataka kutembelea miguu minne, mi nawapa passo namba D kwa milioni 4.

Mtapangiana shift za kuiendesha.

Laki 6 iliyobaki ni mafuta ya miezi miwili na nusu
 
Hii MWITA ndio gani Specialist!??
Nilikuwa natafuta mwana JF makini

Hatimaye nimekupata.

Hongera sana mkuu kwa kusoma herufi kwa herufi nukta hadi.mkato

MWITA ni jina la mzee wangu tu nimempaisha hapo hahahaa
 
Nilikuwa natafuta mwana JF makini

Hatimaye nimekupata.

Hongera sana mkuu kwa kusoma herufi kwa herufi nukta hadi.mkato

MWITA ni jina la mzee wangu tu nimempaisha hapo hahahaa
Asante Ndg yangu 🙂
 
Hizi hela bado ziko below average

Kwa ushauri tu kaeni mjadiliane pamoja muunganishe nguvu kama kweli mnataka kutembelea miguu minne, mi nawapa passo namba D kwa milioni 4.

Mtapangiana shift za kuiendesha.

Laki 6 iliyobaki ni mafuta ya miezi miwili na nusu
Mkuu ww unakula ngap ya udalali apo? Isijekua unamzidi mwenye chombo! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Gari yenyewe namba B ukute mwenyewe gari anata ata m3 ila madalali na tamaa na njaa zao inakuwa jau
2.5 mkuu..kijana anataka kumalizia shida zake apo! Kwel kufa kufaana!
 
Mkuu ww unakula ngap ya udalali apo? Isijekua unamzidi mwenye chombo! [emoji3][emoji3][emoji3]
Toka nikatae kukuuzia IST namba D kwa hela yako ya mboga naona umeniandama.

Tafuta hela kijana taarabu mwachie asha mashauzi
 
Maisha yangu yote,siwezi miliki gari za kina mama,bora nitembee kwa miguu!
Toka nikatae kukuuzia IST namba D kwa hela yako ya mboga naona umeniandama.

Tafuta hela kijana taarabu mwachie asha mashauzi
 
Nirivyoona Neno Noah na Kanisani nikafungua faster nikizani ni mdudu
 
Back
Top Bottom