Mimi nataka nikununue wewe Bei yng 5.3ml kama upi tayar njoo pmHizi hela bado ziko below average
Kwa ushauri tu kaeni mjadiliane pamoja muunganishe nguvu kama kweli mnataka kutembelea miguu minne, mi nawapa passo namba D kwa milioni 4.
Mtapangiana shift za kuiendesha.
Laki 6 iliyobaki ni mafuta ya miezi miwili na nusu
Kishiri kilo sehemu gani mkuuKisesa, kishiri igoma nyegezi n.k
Vipo kishiri na igoma mkuuKishiri na Igoma vipo wapi mkuu
Haya mbe wa ka!!Hahaha mura tabhahira ng’ora kana bhatana ghento bhayo nabhatobhu
Ichips bhamanyere koreya bhene
Body laini sana,hazivumilii barabara mbovu,zinatumia mafuta mengi sana kwenye uchomaji wake tofauti na NOA za kwanza..ukigusa kidogo body inakulazimu ununue kipande kizima cha mahala ulipo gusa kwa maana ya kugonga ili irudi mahala pake,nje na hivyo inakua kama muhogoYanazengua nn mkuu?