Car4Sale Noah kwa bei ya kanisani

Car4Sale Noah kwa bei ya kanisani

Hizi hela bado ziko below average

Kwa ushauri tu kaeni mjadiliane pamoja muunganishe nguvu kama kweli mnataka kutembelea miguu minne, mi nawapa passo namba D kwa milioni 4.

Mtapangiana shift za kuiendesha.

Laki 6 iliyobaki ni mafuta ya miezi miwili na nusu
Mimi nataka nikununue wewe Bei yng 5.3ml kama upi tayar njoo pm
 
Nyanama, Bujingwa, Fumagila.
nikirudi Totaongea
 
Yanazengua nn mkuu?
Body laini sana,hazivumilii barabara mbovu,zinatumia mafuta mengi sana kwenye uchomaji wake tofauti na NOA za kwanza..ukigusa kidogo body inakulazimu ununue kipande kizima cha mahala ulipo gusa kwa maana ya kugonga ili irudi mahala pake,nje na hivyo inakua kama muhogo
 
Back
Top Bottom