Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo ni ya kuacha haki itendeke na kuonekana imetendeka.kumbe swala hapa ni tuzo na sio kuacha haki itendeke na kuonekana imetendeka?
Kenyatta ha-qualify kabisa kupata tuzo ya Mo Ibrahim mkuu.Kwa ujinga huu alilofanya wa kuiba uchaguzi ambao kiukweli hakushinda, angeiingiza Kenya kwenye machafuko makubwa kama Wakenya na NASA wasingekuwa makini.Na hata sasa kwa maneno yake ya kijinga na yasiyo na busara na hekima anayoongea, hakuna uhakika kwamba Kenya itakuwa salama.Niseme pia kwamba katiba imetoa breathing space nzuri,kwa kuwa NASA wamekuwa na mahali pa kukimbilia,vinginevyo ingekuwa hatari sana..Sio rahisi kiongozi wa Afrika kukubali uchaguzi ufutwe na mahakama. Hata kama Kenyatta atashindwa uchaguzi wa marudio anastahili pongezi kubwa kama somo la demokrasia Afrika
Mkuu kwa Afrika wacha jamaa apewe si angeamua angeweza kutengeneza mazingira ya hiyo kesi kufeli.Kumbuka kwa Africa Rais aliyepo madarakani ni kama Mungu.Nobel kwa wizi wa kura? Mimi nadhan Jaji Mkuu ndie anaestahil hiyo tuzo kwa kuhakiki haki iliyokua imeporwa na wez inatendeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi amekujibu Mkuu? Sijui wanafikiraga mini hawa!,Tuzo ni ya kuacha haki itendeke na kuonekana imetendeka.
Tuzo na jambo vimejikita kumoja, kwa nini unavitenganisha?
Sent from my Kimulimuli
Mbona wanaoiba kura wako wengi lakini hawakubali kushindwa wala kuheshimu Uhuru wA mahakama? Hata Kenyatta angetaka angeweza kuingilia uhuru wa mahakama iamue anavyopenda yeyeNobel kwa wizi wa kura? Mimi nadhan Jaji Mkuu ndie anaestahil hiyo tuzo kwa kuhakiki haki iliyokua imeporwa na wez inatendeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa kama lipo ni la tume huru ya uchaguzi sio Kenyatta.Kenyatta ha-qualify kabisa kupata tuzo ya Mo Ibrahim mkuu.Kwa ujinga huu alilofanya wa kuiba uchaguzi ambao kiukweli hakushinda, angeiingiza Kenya kwenye machafuko makubwa kama Wakenya na NASA wasingekuwa makini.Na hata sasa kwa maneno yake ya kijinga na yasiyo na busara na hekima anayoongea, hakuna uhakika kwamba Kenya itakuwa salama.Niseme pia kwamba katiba imetoa breathing space nzuri,kwa kuwa NASA wamekuwa na mahali pa kukimbilia,vinginevyo ingekuwa hatari sana..
Infact Kenyatta,maafisa wote wa tume ya uchaguzi na washirika wake wengine wanastahili kushtakiwa.
Unafikiri hizo tuzo zinatolewa kirahisi kwa mwizi wa kura?Sio rahisi kiongozi wa Afrika kukubali uchaguzi ufutwe na mahakama. Hata kama Kenyatta atashindwa uchaguzi wa marudio anastahili pongezi kubwa kama somo la demokrasia Afrika
Kenyatta hawezi shindwa uchaguzi ni mtu mwema na anaonekana kuwa mwalimu mzuri kwa wanasiasa wa Afrika. hiyo tuzo hataikosaaaaSio rahisi kiongozi wa Afrika kukubali uchaguzi ufutwe na mahakama. Hata kama Kenyatta atashindwa uchaguzi wa marudio anastahili pongezi kubwa kama somo la demokrasia Afrika
watu wanauawa kwa figisu figisu alafu mtu apewe tuzo? mungu anawaona kama mtaitoaNobel kwa wizi wa kura? Mimi nadhan Jaji Mkuu ndie anaestahil hiyo tuzo kwa kuhakiki haki iliyokua imeporwa na wez inatendeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli mkuu.Tume ya uchaguzi walifanya waliyofanya kwa maagizo yake.He had full control over the electoral commission. This is proved by the fact that he sided with them fully in their decisions.His statements and actions before and after the election proves this fact.Kosa kama lipo ni la tume huru ya uchaguzi sio Kenyatta.