Nobel na Mo Ibrahim zanukia kwa Kenyatta

Si kweli mkuu.Tume ya uchaguzi walifanya waliyofanya kwa maagizo yake.He had full control over the electoral commission. This is proved by the fact that he sided with them fully in their decisions.His statements and actions before and after the election proves this fact.
Tume haijamtaja Kenyatta kama mtu aliyewaingilia kazi zao, hayo unayosema unayapata wapi?
 
This does not need any debate.It's obvious.You do not need a PhD to know that Kenyatta controlled the electoral commission and that the death of Chris Msando was masteminded by his camp to eliminate any obstacles to his re-election.To Kenyatta Chris Msando was a real hurdle.

Hivi ulitegemea tume im-implicate Kenyatta.You are not serious.The Kenyan Electoral Commission was not impartial,yaani haikuwa tume huru kabisa,ilikuwa huru by name only.Kumbuka kwamba Mwenyekiti wa tume ni Mkikuyu! How can that be?
 
Si kweli mkuu.Tume ya uchaguzi walifanya waliyofanya kwa maagizo yake.He had full control over the electoral commission. This is proved by the fact that he sided with them fully in their decisions.His statements and actions before and after the election proves this fact.
Hakuna ushahidi wa hilo.
 
This does not need any debate.It's obvious.You do not need a PhD to know that Kenyatta controlled the electoral commission and that the death of Chris Msando was masteminded by his camp to eliminate any obstacles to his re-election.To Kenyatta Chris Msando was a real hurdle.

Hivi ulitegemea tume im-implicate Kenyatta.You are not serious.The Kenyan Electoral Commission was not impartial,yaani haikuwa tume huru kabisa,ilikuwa huru by name only.Kumbuka kwamba Mwenyekiti wa tume ni Mkikuyu! How can that be?
Kuna haja ya kuipeleka tume kwa court kwa kosa la kuvuruga uchaguzi na kusababisha hasara ya kurudia uchaguzi. Hapo ukweli ndo utajulikana kama Kenyatta ndo kawatuma au la.
 
Ni kweli wanapaswa kupelekwa kortini for the evil they have done to Kenyans.Even though it is unlikely that they will ever admit that Kenyatta was a collaborator in the conspiracy.
 
Hata wakikatwa vichwa?
 
This does not need any debate.It's obvious.You do not need a PhD to know that Kenyatta controlled the electoral commission and that the death of Chris Msando was masteminded by his camp to eliminate any obstacles to his re-election.To Kenyatta Chris Msando was a real hurdle.

Hivi ulitegemea tume im-implicate Kenyatta.You are not serious.The Kenyan Electoral Commission was not impartial,yaani haikuwa tume huru kabisa,ilikuwa huru by name only.Kumbuka kwamba Mwenyekiti wa tume ni Mkikuyu! How can that be?
Wewe unaropokwa usioyajua na kuandika uwongo wa hali ya juu sana. Better to keep quiet .
 
Ina maana kenyatta hakuchaguliwa na majority bali alijichagua yeye mwenyewe?
 
Wewe unaropokwa usioyajua na kuandika uwongo wa hali ya juu sana. Better to keep quiet .
Wewe utakuwa kwenye camp ya Kenyatta and most likely a Kikuyu,so no wonder.Na siropoki mkuu, wenye busara na hekima wanajua ninayoongea ni kweli.
 
Mkuu kwa Afrika wacha jamaa apewe si angeamua angeweza kutengeneza mazingira ya hiyo kesi kufeli.Kumbuka kwa Africa Rais aliyepo madarakani ni kama Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzoni alidhani wasingebatilisha matokeo lakini ndio maana akawaachia. Ila sasa hivi ameshabadilika na jana alisema kua majaji wakivaa magauni wanajiona wana akili kuliko wakenya wote

Kenyatta bado ni shujaa wa demokrasia Africa, hata Marais wenzake wa Africa wanamshangaa kukubali kwake kuiachia mahakama mshike masharubu kiasi hiki huku akiwa Amirijeshi mkuu wa Kenya. Kitu kama hicho ni nadra kutokea kwenye nchi nyingine za Africa.
 
Back
Top Bottom