Nobel na Mo Ibrahim zanukia kwa Kenyatta

kumbe swala hapa ni tuzo na sio kuacha haki itendeke na kuonekana imetendeka?
 
kumbe swala hapa ni tuzo na sio kuacha haki itendeke na kuonekana imetendeka?
Tuzo ni ya kuacha haki itendeke na kuonekana imetendeka.

Tuzo na jambo vimejikita kumoja, kwa nini unavitenganisha?

Sent from my Kimulimuli
 
Sio rahisi kiongozi wa Afrika kukubali uchaguzi ufutwe na mahakama. Hata kama Kenyatta atashindwa uchaguzi wa marudio anastahili pongezi kubwa kama somo la demokrasia Afrika
Kenyatta ha-qualify kabisa kupata tuzo ya Mo Ibrahim mkuu.Kwa ujinga huu alilofanya wa kuiba uchaguzi ambao kiukweli hakushinda, angeiingiza Kenya kwenye machafuko makubwa kama Wakenya na NASA wasingekuwa makini.Na hata sasa kwa maneno yake ya kijinga na yasiyo na busara na hekima anayoongea, hakuna uhakika kwamba Kenya itakuwa salama.Niseme pia kwamba katiba imetoa breathing space nzuri,kwa kuwa NASA wamekuwa na mahali pa kukimbilia,vinginevyo ingekuwa hatari sana..

Infact Kenyatta,maafisa wote wa tume ya uchaguzi na washirika wake wengine wanastahili kushtakiwa.
 
Huwezi ukatisha mahakama halafu ukapewa Nobel ama MO Ibrahim Prize
 
Na hasa kwa kiongozi aliyetokea kwenye shina la madikteta liitwalo EAC .
 
Tuzo ni ya kuacha haki itendeke na kuonekana imetendeka.

Tuzo na jambo vimejikita kumoja, kwa nini unavitenganisha?

Sent from my Kimulimuli
Vipi amekujibu Mkuu? Sijui wanafikiraga mini hawa!,
 
Nobel kwa wizi wa kura? Mimi nadhan Jaji Mkuu ndie anaestahil hiyo tuzo kwa kuhakiki haki iliyokua imeporwa na wez inatendeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanaoiba kura wako wengi lakini hawakubali kushindwa wala kuheshimu Uhuru wA mahakama? Hata Kenyatta angetaka angeweza kuingilia uhuru wa mahakama iamue anavyopenda yeye
 
Kosa kama lipo ni la tume huru ya uchaguzi sio Kenyatta.
 
Sio rahisi kiongozi wa Afrika kukubali uchaguzi ufutwe na mahakama. Hata kama Kenyatta atashindwa uchaguzi wa marudio anastahili pongezi kubwa kama somo la demokrasia Afrika
Unafikiri hizo tuzo zinatolewa kirahisi kwa mwizi wa kura?
 
Sio rahisi kiongozi wa Afrika kukubali uchaguzi ufutwe na mahakama. Hata kama Kenyatta atashindwa uchaguzi wa marudio anastahili pongezi kubwa kama somo la demokrasia Afrika
Kenyatta hawezi shindwa uchaguzi ni mtu mwema na anaonekana kuwa mwalimu mzuri kwa wanasiasa wa Afrika. hiyo tuzo hataikosaaaa
 
Kosa kama lipo ni la tume huru ya uchaguzi sio Kenyatta.
Si kweli mkuu.Tume ya uchaguzi walifanya waliyofanya kwa maagizo yake.He had full control over the electoral commission. This is proved by the fact that he sided with them fully in their decisions.His statements and actions before and after the election proves this fact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…