Nobody is safe in Tz

Nobody is safe in Tz

We jamaa unatetea ujinga ambao mwenye akili timamu hawezi kukuelewa,uzalendo punda kama huo ni nonsense
 
We jamaa unatetea ujinga ambao mwenye akili timamu hawezi kukuelewa,uzalendo punda kama huo ni nonsense
Uzalendo punda 😂. Uzalendo kiasi hii ni Ujinga. Hautakiwi uwe kipofu kwa uzalendo wa nchi yako mpaka unashindwa kupinga ujinga.
lack of knowledge, combined with a blind and emotional patriotism, is a formula for disaster.
 
I agree.

Thats why I prefer Kenya.

Its safer.

Well, except when you are at a mall...
Or on the streets after election day...

But meh,
Such a lovely place.
 
Wacha upuzi. Billionaires don’t just disappear, hii ni high crime in broad daylight, kind of stuff that happens in Colombia, Mexico and Nigeria. We endelea kujisifu na hii story.
But is OK for ministers of high calibre like Tom Mboya, Robert Auko to be killed in day light in city centre but nor body was convicted, stupid.
 
Do you understand the scope of this story????.. inaonekana nyi wawili mko na shida ya kuelewa simple repercussions.
This guy employs over 26,000 Tanzanians, controls almost half the wealth floating in your stock market alafu unaniambia ni jambo la kawaida!
Na polisi bado hawana idea [emoji362]! There’s no cctv or hotel footage!. Maajabu!
Msando na Jacob Juma walipouliwa hapakuwa na CCTV cameras, mbona hadi leo hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa?
 
Wacha umama. Umekosa jibu sasa ukaanza umama. At the moment LDC Tz iko pale mbele kwa World news pamoja na turkey, Isis and recent murders in Cancun. Omba huyu mtu wenu apatikane haraka before more damage is your done to your image.
Sisi kwasababu ni nchi ya amani ndio sababu dunia inashangaa, ingekua imetokea Kenya nchi mliyozoea kuchinjana hakuna international media ingeatia
 
Viva Tz kwa kuwa na $billionear japokuwa yupo matatani,kuna nchi inajiita MIDO INIKAMU KANTRI/kenya hawajawahi hata kuskia billionear. .teh teh teh .
 
Its all unfolding way too fast, just like an Indian movie. Apparently the Saudis sent a fifteen man stong hit squad, that split Kashoogi's body between them after doing what they do best. Then thereafter using the same number of vans for transport to their safe house, near the embassy in Ankarra. The rest only God knows. The Americans and his fellow journalist all over America and at his former workplace, The Washington Times, are all very livid about the heinous affair. They are breathing fire like its judgement day came too early.


Splited his body..😞

Those 15 vans going inside, to meet with1 person. This was all premeditated.
And the reason is he called the Royal Family out.
Hii dunia!
 
Nani aijuaye siku yake ya mauti? Hebu acheni maneno ya shombo juu ya TZ yetu.
 
So a businessman was kidnapped and possibly theoretically murdered but people here want to justify it because Kenya has not collapsed and it had similar cases? Lord, may you never allow me to buy to that school of thought
 
What???![emoji116]....... Tanzania tupo katika hali mbaya kuliko hata tunavyodhania!!
Screenshot_20181013-102139~01.jpeg
 
Majirani wametuwakilisha EAC katika utekaji wa mabilionea, haya mambo yalikua Nigeria na Afrika Kusini, yaani hapa EAC tulikua hatusikiki.
Leo naona tunasemwa kwenye CNN kwamba youngest billionaire in Africa kidnapped.

Naomba apatikane jamaa japo yaye ni mfadhili wa timu nisiyoipenda, lakini ni mtu muhimu kwenye uchumi na soko la ajira.
Very wise.poleni na janga la al shabab.ni wito wangu,tushirikiane na watanzania kuuondoa ugaidi.kuhusu utekaji,imekua kawaida sana bongo.kun watu,wanaajaliwa kuteka na imekua kawaida tu
 
Very wise.poleni na janga la al shabab.ni wito wangu,tushirikiane na watanzania kuuondoa ugaidi.kuhusu utekaji,imekua kawaida sana bongo.kun watu,wanaajaliwa kuteka na imekua kawaida tu

Japo huyo bilionea naye alikua anajitakia makuu, nimesoma eti alikua anaendesha gari mwenyewe mjini bila ulinzi wowote.
 
Kilaza fulani humu kasema wakenya ndio walitekeleza tukio hili. Sisi tulitoka Kenya lini tukaja bongo kuteka mtu nyara? Si vizuri nyie wabongo kutulaumu kwa masaibu yenu.sisi huwatakia mema kila wakati
 
Acha kelele, Tom Mboya alipigwa risasi mchana hapo Nairobi, hadi leo bado waliomuua hawajulikani. Waliomteka MO ni wazungu, hii inapnyesha hili tukio limepangwa kitaalamu Sana linahitaji muda na ikiwezekana kupata msaada toka nje ya nchi/interpol, kama ambavyo Turkey inavyoomba msaada kuchunguza kupotea kwa journalist wa Saudia.

Point ni kwamba, kitendo cha mtu tajiri kama huyu kutokua na walinzi kwa zaidi ya miaka ishirini na hajawahi kuguswa hata kuibiwa simu, ukiwa kama mkenya nchi ambayo inatumia mabilioni ya pesa za wananchi kuwalinda MCAs, unajifinza kitu gani?
Turkey hawajaomba msaada wa kuchunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa Saudia, wao wanaiomba Saudia iwaruhusu wakachunguze ndani ya UBALOZI....kwa sababu sheria za kimataifa haziwaruhusu wao kwenda kuingia ubalozini na kufanya uchunguzi.....
Hawajaiomba nchi yeyote msaada.
 
Back
Top Bottom