ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
We jamaa unatetea ujinga ambao mwenye akili timamu hawezi kukuelewa,uzalendo punda kama huo ni nonsense
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzalendo punda 😂. Uzalendo kiasi hii ni Ujinga. Hautakiwi uwe kipofu kwa uzalendo wa nchi yako mpaka unashindwa kupinga ujinga.We jamaa unatetea ujinga ambao mwenye akili timamu hawezi kukuelewa,uzalendo punda kama huo ni nonsense
But is OK for ministers of high calibre like Tom Mboya, Robert Auko to be killed in day light in city centre but nor body was convicted, stupid.Wacha upuzi. Billionaires don’t just disappear, hii ni high crime in broad daylight, kind of stuff that happens in Colombia, Mexico and Nigeria. We endelea kujisifu na hii story.
Msando na Jacob Juma walipouliwa hapakuwa na CCTV cameras, mbona hadi leo hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa?Do you understand the scope of this story????.. inaonekana nyi wawili mko na shida ya kuelewa simple repercussions.
This guy employs over 26,000 Tanzanians, controls almost half the wealth floating in your stock market alafu unaniambia ni jambo la kawaida!
Na polisi bado hawana idea [emoji362]! There’s no cctv or hotel footage!. Maajabu!
Sisi kwasababu ni nchi ya amani ndio sababu dunia inashangaa, ingekua imetokea Kenya nchi mliyozoea kuchinjana hakuna international media ingeatiaWacha umama. Umekosa jibu sasa ukaanza umama. At the moment LDC Tz iko pale mbele kwa World news pamoja na turkey, Isis and recent murders in Cancun. Omba huyu mtu wenu apatikane haraka before more damage is your done to your image.
Its all unfolding way too fast, just like an Indian movie. Apparently the Saudis sent a fifteen man stong hit squad, that split Kashoogi's body between them after doing what they do best. Then thereafter using the same number of vans for transport to their safe house, near the embassy in Ankarra. The rest only God knows. The Americans and his fellow journalist all over America and at his former workplace, The Washington Times, are all very livid about the heinous affair. They are breathing fire like its judgement day came too early.
Most likely, the hit squad squad flew in and out of Turkey in a spliff in two charted planes according to the information pieced together so far.Splited his body..
Most likely, the hit squad squad flew in and out of Turkey in a spliff in two charted planes according to the information pieced together so far.
The Turks were disrespected in their own land. They will offcourse be very vengefull, Ill be following this very closely.Saudis might be in huge trouble..Saudi journalist Jamal Khashoggi reportedly recorded his own death with his Apple Watch, according to Turkish newspaper | tellerreport.com
Question is, if the Turkish can be trusted.
Seriously?What???![emoji116]....... Tanzania tupo katika hali mbaya kuliko hata tunavyodhania!! View attachment 896368
Hawa polisi ni clueless. Hawajui mbele wala nyuma. Jiwe naye ameyamazia jambo hili sana..labda anahusikaWhat???![emoji116]....... Tanzania tupo katika hali mbaya kuliko hata tunavyodhania!! View attachment 896368
Very wise.poleni na janga la al shabab.ni wito wangu,tushirikiane na watanzania kuuondoa ugaidi.kuhusu utekaji,imekua kawaida sana bongo.kun watu,wanaajaliwa kuteka na imekua kawaida tuMajirani wametuwakilisha EAC katika utekaji wa mabilionea, haya mambo yalikua Nigeria na Afrika Kusini, yaani hapa EAC tulikua hatusikiki.
Leo naona tunasemwa kwenye CNN kwamba youngest billionaire in Africa kidnapped.
Naomba apatikane jamaa japo yaye ni mfadhili wa timu nisiyoipenda, lakini ni mtu muhimu kwenye uchumi na soko la ajira.
Very wise.poleni na janga la al shabab.ni wito wangu,tushirikiane na watanzania kuuondoa ugaidi.kuhusu utekaji,imekua kawaida sana bongo.kun watu,wanaajaliwa kuteka na imekua kawaida tu
Turkey hawajaomba msaada wa kuchunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa Saudia, wao wanaiomba Saudia iwaruhusu wakachunguze ndani ya UBALOZI....kwa sababu sheria za kimataifa haziwaruhusu wao kwenda kuingia ubalozini na kufanya uchunguzi.....Acha kelele, Tom Mboya alipigwa risasi mchana hapo Nairobi, hadi leo bado waliomuua hawajulikani. Waliomteka MO ni wazungu, hii inapnyesha hili tukio limepangwa kitaalamu Sana linahitaji muda na ikiwezekana kupata msaada toka nje ya nchi/interpol, kama ambavyo Turkey inavyoomba msaada kuchunguza kupotea kwa journalist wa Saudia.
Point ni kwamba, kitendo cha mtu tajiri kama huyu kutokua na walinzi kwa zaidi ya miaka ishirini na hajawahi kuguswa hata kuibiwa simu, ukiwa kama mkenya nchi ambayo inatumia mabilioni ya pesa za wananchi kuwalinda MCAs, unajifinza kitu gani?