Noebillions ni tapeli mkubwa wa forex Tanzania


View: https://youtu.be/spYTAd9gp54?si=ea3X3XpduEWG1sXw
 
Forex ni scamming kitu pekee kama trader kinaweza kukupa faida ni stocks. Na ku trade stocks hamtaki kwa sababu hamtaki kusubiri. Mtapigwa hela sana, nilitangaza mtu ambaye kwenye Portfolio yake amepata faida kuanzia 40 % ya mtaji wake. Anitumie Portfolio yake kuna nafasi za kazi huku Frankfurt Ujerumani. Hakuna mtu aliyekuja. Wewe mwenyewe kama trading history yako yote 40% ya trading zako zilileta Profit. Leta Portfolio nikuunganishe na Investment firms. Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya na kukataa ukweli.
 
tapeli lingine hili hapa pumbafu, umeona kutrade ni utapeli sahivi unasambaza link angalau urudishe robo hasara.
 
acha utapeli
 
Aisee hakuna kitu kibaya kama kujidanganya ni sawasawa na wale wasabato walioenda airport bila passport na visa wakiamini wataenda ulaya kwa uwezo wa Roho mtakatifu.
 
Naomba uache namba yako hapa. Mimi nikutumie. Asante sana.
And don’t ever again forex ni scam.
Wapo scammers ila issue yenyewe si scam. Naomba uache namba yako hapa, nasubiri.
Kwa hiyo hiyo 40%.
Samahani boss sikuona tangazo lako.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…