Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waingereza wengi au traders kutoka nchi hiyo, ndio wanaofanya kazi kweli.
Sijaona tapeli hadi sasa. Na hawapo humu mitandaoni. Na hawana sifa za kuonyesha mapesa haya. Wengi tu bongo hapa wanafanya kazi na makampuni makubwa na watu wakubwa. Niliwahi pita huko kikazi si kimaigizo kama watu wengi wanaopita humu na kuandika machungu ya forx. I came about kujua waingereza au traders wengi wa UK hawanaga shida.
Forex ni scamming kitu pekee kama trader kinaweza kukupa faida ni stocks. Na ku trade stocks hamtaki kwa sababu hamtaki kusubiri. Mtapigwa hela sana, nilitangaza mtu ambaye kwenye Portfolio yake amepata faida kuanzia 40 % ya mtaji wake. Anitumie Portfolio yake kuna nafasi za kazi huku Frankfurt Ujerumani. Hakuna mtu aliyekuja. Wewe mwenyewe kama trading history yako yote 40% ya trading zako zilileta Profit. Leta Portfolio nikuunganishe na Investment firms. Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya na kukataa ukweli.Nenda kwenye comment box.. sio unaenda kusearch ili kunicrush tu.. sasa ww mpka ukutane na scammer ni mchezo.. na nimekwambia. Wenyewe hawapo mitandaoni. Unaleta usibitsho wa mtu wa mtandaoni. Google linkedin huko. Smergers. Link na jamaa huko.
Panua kichwa binti yangu sio unapingapinga vitu tu.
Sorry KapigwaKapigwa au kapiga?
tapeli lingine hili hapa pumbafu, umeona kutrade ni utapeli sahivi unasambaza link angalau urudishe robo hasara.DERIV wamefanyia Kazi changamoto ya Kudeposit na kuwithdraw tulikuwa tunawategemea Sana payment agents , yani unamtumia mtu hela ambaye hata hujawahi kuonana naye akuwekee kwenye account yako[emoji16] Hii njia ilikuwa na utapeli mwingi Sana , na muda mwingi DERIV wenyewe walikuwa wanapata changamoto ya kusuruhisha hizi kesi za utapeli .
Pia maagent NI kama walikuwa wanajipangia Tu Rate yao muda mwingi rate ilikuwa chini Sana ukihitaji kutoa , na wanaongeza rate ukihitaji kudeposit
Sasa Kuanzia Jana Tarehe 21 November 2023 NI rasmi Deriv wameongeza njia mpya ambayo haina utapeli unadeposit na kuwithdraw kupitia M-PESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY direct bila kupitia kwa agent yeyote na Rate NI fixed , kutoa NI hiyohyo na kudeposit NI hiyohyo [emoji119][emoji119]
Minimum deposit NI $5 Tu
Deposit Fuata Hatua zifuatazo
Login kwenye account yako>>Cashier>>Deposit>>Deposit via bank wire,Card and E-wallet>>Chagua TIGOPESA,MPESA/AIRTEL MONEY
Wale wanaohitaji kufungua account tembelea link Hii Online trading with Deriv | Simple. Flexible. Reliable.
Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
acha utapeliKuna jamaa Yuko Instagram pia anaitwa Ibrahim inano,huyo dogo anauza bot na Jana nimekutana na dogo Mmoja analo nimeliona kwenye laptop ya dogo kwa kweli Hilo bot ni genuine kabisa nimekaa na jamaa ana trade deriv v 75 kwa muda wa kama masaa 6 hivi bot limetoa Dola 30 mpaka Dola 120 huku Mimi naona sema linahitaji uwe unafatilia Kuna muda Fulani linakwenda against na trend au linaweza likawa Linafungua tu order nyingi kadiri unavyomake profit so lazima uwepo unalizima na kuwasha pale unapoona Lina kwenda tofauti au unapoona faida inatosha,kifupi ni kuwa pamoja na kutumia bot ni lazima forex uijue pia
Aisee hakuna kitu kibaya kama kujidanganya ni sawasawa na wale wasabato walioenda airport bila passport na visa wakiamini wataenda ulaya kwa uwezo wa Roho mtakatifu.Kuna jamaa Yuko Instagram pia anaitwa Ibrahim inano,huyo dogo anauza bot na Jana nimekutana na dogo Mmoja analo nimeliona kwenye laptop ya dogo kwa kweli Hilo bot ni genuine kabisa nimekaa na jamaa ana trade deriv v 75 kwa muda wa kama masaa 6 hivi bot limetoa Dola 30 mpaka Dola 120 huku Mimi naona sema linahitaji uwe unafatilia Kuna muda Fulani linakwenda against na trend au linaweza likawa Linafungua tu order nyingi kadiri unavyomake profit so lazima uwepo unalizima na kuwasha pale unapoona Lina kwenda tofauti au unapoona faida inatosha,kifupi ni kuwa pamoja na kutumia bot ni lazima forex uijue pia
Hata trading ni realistic na ina potential ya kuwa main hustle ya mtu.Na mtapigwa mno kwa tamaa zenu za kitoto. Infact, mleta mada, kuna side hustles nyingi sana ambazo ni realistic unaweza fanya.
Naomba uache namba yako hapa. Mimi nikutumie. Asante sana.Forex ni scamming kitu pekee kama trader kinaweza kukupa faida ni stocks. Na ku trade stocks hamtaki kwa sababu hamtaki kusubiri. Mtapigwa hela sana, nilitangaza mtu ambaye kwenye Portfolio yake amepata faida kuanzia 40 % ya mtaji wake. Anitumie Portfolio yake kuna nafasi za kazi huku Frankfurt Ujerumani. Hakuna mtu aliyekuja. Wewe mwenyewe kama trading history yako yote 40% ya trading zako zilileta Profit. Leta Portfolio nikuunganishe na Investment firms. Hakuna kitu kibaya kama kujidanganya na kukataa ukweli.
email me @ man6757@thi.de. Ein gutes Gewissen ist ein sanftes Ruhekissen.Naomba uache namba yako hapa. Mimi nikutumie. Asante sana.
And don’t ever again forex ni scam.
Wapo scammers ila issue yenyewe si scam. Naomba uache namba yako hapa, nasubiri.
Kwa hiyo hiyo 40%.
Samahani boss sikuona tangazo lako.
Habari hili ndo chapisho langu la Kwanza kuandika ndani ya jamii forums na nimeona niandike ili kuwazindua vijana wenzangu kuhusu utapeli unaondelezwa na vijana wanaojifanya wanafanya forex nchini Tanzania.
Mimi binafsi nilijifunza forex na ni biashara ilonivutia sana baada ya kuona jinsi vijana mitandaoni wanavoipamba biashara hii, ila kiukweli ni tofauti na uhalisia, biashra ya forex ipo kweli na inafanya kazi kweli ila kwa Tanzania bado sana, watu wanaingiza pesa kwa kusomesha watu, kuuza ma bots na kufanya Acc Management.
Kuna mkasa ulionitokezea hadi nikaamua kuandika hili chapisho.
Kuna kijana mtanzania maarufu sana tiktok na insta anajiita noebillions huyu kijana amejikita kufanya forex kwa kutumia bot na kuaminisha watu kuwa anapata faida maradufu kwa mtaji mdogo, jambo ambalo sio kweli kiuhalisia.
Kwanza naomba kuelezea jinsi alivyonitapeli:
Noebillions nilianza kumjua instagram na nikamzoea kwa kuchat nae hadi niliwahi kumuomba kufanya nae interview akakubali ila sikufanya nae kwasbabu zangu mimi zilikuw nje ya uwezo wangu.
Kuna siku alisema anatka kukuza acc za watu ndani ya wiki moja na ili upate huduma hii umlipe 500K kama ada then ueke dollar 50 kwenye acc yako ili akukuzie acc yako. Nilifanya uchunguzi then kwa ujinga ukanipitikia kwasababu nilishajenga mazoea nae nikamtumia hela.
Baada ya hapo ndo nikapata funzo ambalo limenifanya niwazindue na wenzangu.
Akaanza kuniblock twitter, akafata insta na akafuta chat zetu ila nahskuru Mungu mimi niliwah kuscreenshot chat zote.
Karibuni nitafanya video kuhusu utapeli mzima uloinikuta kutoka kwa kijana huyu ambae vijana wengi wanashawishika kufanya biashara nae aidha kunnua bot kwa kuamini watapat faida nyingi kwa haraka.
Nimalizie kusema mabot kwnye forex ni kweli na mimi natumia ila kiuhalisia hayapo kama vile wanavoonesha mitandaoni so kuwa makini.
View attachment 2822644View attachment 2822646View attachment 2822645