Noebillions ni tapeli mkubwa wa forex Tanzania

Noebillions ni tapeli mkubwa wa forex Tanzania

DERIV wamefanyia Kazi changamoto ya Kudeposit na kuwithdraw tulikuwa tunawategemea Sana payment agents , yani unamtumia mtu hela ambaye hata hujawahi kuonana naye akuwekee kwenye account yako[emoji16] Hii njia ilikuwa na utapeli mwingi Sana , na muda mwingi DERIV wenyewe walikuwa wanapata changamoto ya kusuruhisha hizi kesi za utapeli .
Pia maagent NI kama walikuwa wanajipangia Tu Rate yao muda mwingi rate ilikuwa chini Sana ukihitaji kutoa , na wanaongeza rate ukihitaji kudeposit

Sasa Kuanzia Jana Tarehe 21 November 2023 NI rasmi Deriv wameongeza njia mpya ambayo haina utapeli unadeposit na kuwithdraw kupitia M-PESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY direct bila kupitia kwa agent yeyote na Rate NI fixed , kutoa NI hiyohyo na kudeposit NI hiyohyo [emoji119][emoji119]
Minimum deposit NI $5 Tu

Deposit Fuata Hatua zifuatazo
Login kwenye account yako>>Cashier>>Deposit>>Deposit via bank wire,Card and E-wallet>>Chagua TIGOPESA,MPESA/AIRTEL MONEY

Wale wanaohitaji kufungua account tembelea link Hii Online trading with Deriv | Simple. Flexible. Reliable.

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
Mkuu nakudm Ila umelimit please nahitaji msaada wako boss
 
Vijana wa kiTanzania ni wavivu katika kila kitu hataki kusoma kuhusu forex marketing ajue kila kitu, ajue namna ya kuanalyze soko asiwe mtumwa wa signals, bots na kumlipa mtu akufanyie trading. Tafuta tu bundle lako ingia youtube mtafute ICT mentorship anza na ICT mentorship core content 1 - 10 months kila month ina 8 - 14 videos in it then uje ICT mentorship 2022 zipo video 41, anafundisha vzuri sana ukimaliza video zake na kuzielewa vzuri hutakua mtumwa wa kina Noeli. Acha uvivu, acha tamaa ya mafanikio ya haraka life ni kama ngazi one step kila siku.
 
zipo, infact 90% ya trading \ote znafanyika na bots
Kama wewe ni mgeni na trading sawa, ila kama upo kwenye game ya trading zaidi ya miaka 2 na bado unayaamaini hayo madudu basi endelea kujifunza. Ingekuwa hayo madude yanaleta faida watu wasingepoteza muda hata wa kujifunza PA.
Trading ina wapumbavu wengi sana ambao ndio "exit liquidity" ya wachache wanaoijua trading.
 
sio tu nayaaamini bali nayatengeneza pia, kama ulikua unadhan trading inafanyika kwa kusoma charts pole sana

View: https://www.youtube.com/watch?v=z4nCTdQlH8w&t=514s&pp=ygUOaGZ0IGV4YXBsYWluZWQ%3D
usipoelewa hii video una safari ndefu sana
 
Kama wewe ni mgeni na trading sawa, ila kama upo kwenye game ya trading zaidi ya miaka 2 na bado unayaamaini hayo madudu basi endelea kujifunza. Ingekuwa hayo madude yanaleta faida watu wasingepoteza muda hata wa kujifunza PA.
Trading ina wapumbavu wengi sana ambao ndio "exit liquidity" ya wachache wanaoijua trading.
1701949117605.png
 
kiuhalisia una safari ndefu sana
 
Hapo tatizo ni wewe,Wewe ndo ulianza kujitapeli kiakili. Huyo alimalizia tu. Kikubwa jifunze tokea kwenye kosa ulilolifanya.
 
Utapeli ni mwingi mno...yupo mwingine namsikie redioni ati snafundisha watu kutengeneza sabuni sijui kupika na kupamba ati utakuwa bilionea kmaaamake.
 
Habari hili ndo chapisho langu la Kwanza kuandika ndani ya jamii forums na nimeona niandike ili kuwazindua vijana wenzangu kuhusu utapeli unaondelezwa na vijana wanaojifanya wanafanya forex nchini Tanzania.

Mimi binafsi nilijifunza forex na ni biashara ilonivutia sana baada ya kuona jinsi vijana mitandaoni wanavoipamba biashara hii, ila kiukweli ni tofauti na uhalisia, biashra ya forex ipo kweli na inafanya kazi kweli ila kwa Tanzania bado sana, watu wanaingiza pesa kwa kusomesha watu, kuuza ma bots na kufanya Acc Management.

Kuna mkasa ulionitokezea hadi nikaamua kuandika hili chapisho.

Kuna kijana mtanzania maarufu sana tiktok na insta anajiita noebillions huyu kijana amejikita kufanya forex kwa kutumia bot na kuaminisha watu kuwa anapata faida maradufu kwa mtaji mdogo, jambo ambalo sio kweli kiuhalisia.

Kwanza naomba kuelezea jinsi alivyonitapeli:

Noebillions nilianza kumjua instagram na nikamzoea kwa kuchat nae hadi niliwahi kumuomba kufanya nae interview akakubali ila sikufanya nae kwasbabu zangu mimi zilikuw nje ya uwezo wangu.

Kuna siku alisema anatka kukuza acc za watu ndani ya wiki moja na ili upate huduma hii umlipe 500K kama ada then ueke dollar 50 kwenye acc yako ili akukuzie acc yako. Nilifanya uchunguzi then kwa ujinga ukanipitikia kwasababu nilishajenga mazoea nae nikamtumia hela.

Baada ya hapo ndo nikapata funzo ambalo limenifanya niwazindue na wenzangu.

Akaanza kuniblock twitter, akafata insta na akafuta chat zetu ila nahskuru Mungu mimi niliwah kuscreenshot chat zote.

Karibuni nitafanya video kuhusu utapeli mzima uloinikuta kutoka kwa kijana huyu ambae vijana wengi wanashawishika kufanya biashara nae aidha kunnua bot kwa kuamini watapat faida nyingi kwa haraka.

Nimalizie kusema mabot kwnye forex ni kweli na mimi natumia ila kiuhalisia hayapo kama vile wanavoonesha mitandaoni so kuwa makini.

View attachment 2822644View attachment 2822646View attachment 2822645
Post ya kwanza na umesepa.

Tupe ramani basi tusiliwe
 
Back
Top Bottom