Noebillions ni tapeli mkubwa wa forex Tanzania

Noebillions ni tapeli mkubwa wa forex Tanzania

linked in, quora na huo ujinga mwingine ndio your sources of these bogus information? Really? Kumbe napoteza muda wangu hapa, kwa hiyo kule WallStreet,Nasdaq, NYSE wanatumia Bots au sio??🤣🤣

nkuongezee na ya mwisho, the most profitable trader to ever live

View: https://www.youtube.com/watch?v=U5kIdtMJGc8&pp=ygULamltIHNpbW9ucyA%3D

sasa wewe leta trader yoyote aliefanikiwa bila kutumia softwares, utuambie tena CNN, BBC ni upuuzi wewe una akili kuliko wao!
 
kwahio linkedn ni ujinga si ndio 😂 😂 😂 , kwahio tuseme wewe una akili kuliko linkedn, quora! ngoja nkuongezee na zingine maaana wewe una akili kuliko watu wote duniani: ngoja nnkuonyeshe live jinsi wall street wana trade maaana akili yako fupi

View: https://www.youtube.com/watch?v=mbWhKM77r0I&t=517s&pp=ygUVaW5zaWRlIGhmdCB3YWxsIHN0cmV0

View: https://www.youtube.com/watch?v=2u007Msq1qo&pp=ygUVaW5zaWRlIGhmdCB3YWxsIHN0cmV0

ukishamaliza leta maneno mengine

Unajieleza sana Mkuu, unachotakiwa kuelewa ni kwamba no body is going to buy or subscribe to your "Scam Bot" Alafu mwanaume hutakiwi kujieleza sana. Kwa jinsi unavyotumia nguvu nyingi kujieleza unazidi kujiongezea red flags kwa yeyote mwenye akili timamu na ni tabia za matapeli.
 
cha muhimu ufunge tu domo kitu hikijui tuliza wenge mm siuzi bot
 
Kuna jamaa Yuko Instagram pia anaitwa Ibrahim inano,huyo dogo anauza bot na Jana nimekutana na dogo Mmoja analo nimeliona kwenye laptop ya dogo kwa kweli Hilo bot ni genuine kabisa nimekaa na jamaa ana trade deriv v 75 kwa muda wa kama masaa 6 hivi bot limetoa Dola 30 mpaka Dola 120 huku Mimi naona sema linahitaji uwe unafatilia Kuna muda Fulani linakwenda against na trend au linaweza likawa Linafungua tu order nyingi kadiri unavyomake profit so lazima uwepo unalizima na kuwasha pale unapoona Lina kwenda tofauti au unapoona faida inatosha,kifupi ni kuwa pamoja na kutumia bot ni lazima forex uijue pia

Analiuza bei gani ilo bot
 
Habari hili ndo chapisho langu la Kwanza kuandika ndani ya jamii forums na nimeona niandike ili kuwazindua vijana wenzangu kuhusu utapeli unaondelezwa na vijana wanaojifanya wanafanya forex nchini Tanzania.

Mimi binafsi nilijifunza forex na ni biashara ilonivutia sana baada ya kuona jinsi vijana mitandaoni wanavoipamba biashara hii, ila kiukweli ni tofauti na uhalisia, biashra ya forex ipo kweli na inafanya kazi kweli ila kwa Tanzania bado sana, watu wanaingiza pesa kwa kusomesha watu, kuuza ma bots na kufanya Acc Management.

Kuna mkasa ulionitokezea hadi nikaamua kuandika hili chapisho.

Kuna kijana mtanzania maarufu sana tiktok na insta anajiita noebillions huyu kijana amejikita kufanya forex kwa kutumia bot na kuaminisha watu kuwa anapata faida maradufu kwa mtaji mdogo, jambo ambalo sio kweli kiuhalisia.

Kwanza naomba kuelezea jinsi alivyonitapeli:

Noebillions nilianza kumjua instagram na nikamzoea kwa kuchat nae hadi niliwahi kumuomba kufanya nae interview akakubali ila sikufanya nae kwasbabu zangu mimi zilikuw nje ya uwezo wangu.

Kuna siku alisema anatka kukuza acc za watu ndani ya wiki moja na ili upate huduma hii umlipe 500K kama ada then ueke dollar 50 kwenye acc yako ili akukuzie acc yako. Nilifanya uchunguzi then kwa ujinga ukanipitikia kwasababu nilishajenga mazoea nae nikamtumia hela.

Baada ya hapo ndo nikapata funzo ambalo limenifanya niwazindue na wenzangu.

Akaanza kuniblock twitter, akafata insta na akafuta chat zetu ila nahskuru Mungu mimi niliwah kuscreenshot chat zote.

Karibuni nitafanya video kuhusu utapeli mzima uloinikuta kutoka kwa kijana huyu ambae vijana wengi wanashawishika kufanya biashara nae aidha kunnua bot kwa kuamini watapat faida nyingi kwa haraka.

Nimalizie kusema mabot kwnye forex ni kweli na mimi natumia ila kiuhalisia hayapo kama vile wanavoonesha mitandaoni so kuwa makini.

View attachment 2822644View attachment 2822646View attachment 2822645
Alikuitaaa
 
DERIV wamefanyia Kazi changamoto ya Kudeposit na kuwithdraw tulikuwa tunawategemea Sana payment agents , yani unamtumia mtu hela ambaye hata hujawahi kuonana naye akuwekee kwenye account yako[emoji16] Hii njia ilikuwa na utapeli mwingi Sana , na muda mwingi DERIV wenyewe walikuwa wanapata changamoto ya kusuruhisha hizi kesi za utapeli .
Pia maagent NI kama walikuwa wanajipangia Tu Rate yao muda mwingi rate ilikuwa chini Sana ukihitaji kutoa , na wanaongeza rate ukihitaji kudeposit

Sasa Kuanzia Jana Tarehe 21 November 2023 NI rasmi Deriv wameongeza njia mpya ambayo haina utapeli unadeposit na kuwithdraw kupitia M-PESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY direct bila kupitia kwa agent yeyote na Rate NI fixed , kutoa NI hiyohyo na kudeposit NI hiyohyo [emoji119][emoji119]
Minimum deposit NI $5 Tu

Deposit Fuata Hatua zifuatazo
Login kwenye account yako>>Cashier>>Deposit>>Deposit via bank wire,Card and E-wallet>>Chagua TIGOPESA,MPESA/AIRTEL MONEY

Wale wanaohitaji kufungua account tembelea link Hii Online trading with Deriv | Simple. Flexible. Reliable.

Sent from my SHG03 using JamiiForums mobile app
Mbona hizo options za Mpesa hamna,
 
Kuna jamaa Yuko Instagram pia anaitwa Ibrahim inano,huyo dogo anauza bot na Jana nimekutana na dogo Mmoja analo nimeliona kwenye laptop ya dogo kwa kweli Hilo bot ni genuine kabisa nimekaa na jamaa ana trade deriv v 75 kwa muda wa kama masaa 6 hivi bot limetoa Dola 30 mpaka Dola 120 huku Mimi naona sema linahitaji uwe unafatilia Kuna muda Fulani linakwenda against na trend au linaweza likawa Linafungua tu order nyingi kadiri unavyomake profit so lazima uwepo unalizima na kuwasha pale unapoona Lina kwenda tofauti au unapoona faida inatosha,kifupi ni kuwa pamoja na kutumia bot ni lazima forex uijue pia
Aisee huyo inano namfatilia sana recently ila nikiangalia page kama instagram naona kama wale followers ni pranks kwenye comment section. Nahitaji real life reviews kama wewe uliiona live liki trade maana utapeli ni mwingi.
 
Deposit Fuata Hatua zifuatazo
Login kwenye account yako>>Cashier>>Deposit>>Deposit via bank wire,Card and E-wallet>>Chagua TIGOPESA,MPESA/AIRTEL MONEY
jombaa, mbona option ya TigoPesa/Mpesa hazipo sizioni deriv. wamezitoa ama?
 
Pesa haina kelele ukisikia mtu anajiita bilionea hapo hamna kitu mdogo wangu siku nyingine usijae kwa mbwembwe za mtu kuwa ni tajiri pesa haina kelele kabisa
 
Back
Top Bottom