Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Hakika Dunia na maajabu yake jamaa mmoja kutoka nchini ya Wales kwenye jiji la Pontypridd alifanikiwa kuipata simu yake aliyeipoteza miaka mingi ikiwa nzima kabisa
Unaweza ukazani ni Tangazo lakini ni maisha kitu asilia kabisa š„±
NOKIA aina ya "3310" ndo simu iliyopotea miaka 22 iliyopita ambapo muhusika baada ya kuipata na kuiwasha aliweza kuikuta na chaji Ile Ile ambayo wakati anaipoteza ilkuwepo kilikua kimebaki asilimia Moja Yani Bar 1.
Hakuamini kama itawaka lakini alishangaa kukuta simu ina chaji ikiwa Pamoja na betri bar 1 hivyo mfumo huu unadhihirisha kuwa NOKIA ni simu imara isiyoweza kuharibika.
#Nokia #NokiaMobile #simumpya #Fahamu #teknoloji #bongotech255