Nokia iliyokaa miaka 22 bila kuzima

Nokia iliyokaa miaka 22 bila kuzima

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
1_20241110_214406_0000.png

Hakika Dunia na maajabu yake jamaa mmoja kutoka nchini ya Wales kwenye jiji la Pontypridd alifanikiwa kuipata simu yake aliyeipoteza miaka mingi ikiwa nzima kabisa

Unaweza ukazani ni Tangazo lakini ni maisha kitu asilia kabisa 🄱

NOKIA aina ya "3310" ndo simu iliyopotea miaka 22 iliyopita ambapo muhusika baada ya kuipata na kuiwasha aliweza kuikuta na chaji Ile Ile ambayo wakati anaipoteza ilkuwepo kilikua kimebaki asilimia Moja Yani Bar 1.

2_20241110_214406_0001.png

Hakuamini kama itawaka lakini alishangaa kukuta simu ina chaji ikiwa Pamoja na betri bar 1 hivyo mfumo huu unadhihirisha kuwa NOKIA ni simu imara isiyoweza kuharibika.

#Nokia #NokiaMobile #simumpya #Fahamu #teknoloji #bongotech255
 
Hivi kwa stori hiyo hapo credit inaenda kwa simu au ni betri?
 
View attachment 3148961
Hakika Dunia na maajabu yake jamaa mmoja kutoka nchini ya Wales kwenye jiji la Pontypridd alifanikiwa kuipata simu yake aliyeipoteza miaka mingi ikiwa nzima kabisa

Unaweza ukazani ni Tangazo lakini ni maisha kitu asilia kabisa 🄱

NOKIA aina ya "3310" ndo simu iliyopotea miaka 22 iliyopita ambapo muhusika baada ya kuipata na kuiwasha aliweza kuikuta na chaji Ile Ile ambayo wakati anaipoteza ilkuwepo kilikua kimebaki asilimia Moja Yani Bar 1.

View attachment 3148962

Hakuamini kama itawaka lakini alishangaa kukuta simu ina chaji ikiwa Pamoja na betri bar 1 hivyo mfumo huu unadhihirisha kuwa NOKIA ni simu imara isiyoweza kuharibika.

#Nokia #NokiaMobile #simumpya #Fahamu #teknoloji #bongotech255
Ilikuwa inatumiwa na majini
 
Back
Top Bottom