Nokia imebadili mwonekano wa logo yake


Nimekuwa nikiandika sana hii android one ni utumbo,sijui wahusika wao hawaoni???
Hii logo ni baada ya kugundua ile ya mwanzo ilikuwa ya kifala,wakaona wbadilike lakini bado caller yao.

Leo hii microsoft wangekomaa na simu zao za windo,hakuna simu ingekuwa faster na fluid optimazed kama hiyo sokoni,maana ram 1gb ya window ilikiwa ni moto,nokia waliyumba sana.
 
Microsoft bidhaa zao ni moto ila walisahau kwenye simu walibana sana
 
1865 hadi sana bado kampuni lipo.

Hawa wenzetu wanajua sana kuendeleza nabkupitisha vitu vyao vizazi hadi vizazi, hapa kwetu sidhani kama kuna kampuni lenye japo miaka 100.
 
1865 hadi sana bado kampuni lipo.

Hawa wenzetu wanajua sana kuendeleza nabkupitisha vitu vyao vizazi hadi vizazi, hapa kwetu sidhani kama kuna kampuni lenye japo miaka 100.
TBL 1933 (miaka 90) Asas 1936 (miaka 87), Aga Khan 1905 (miaka 118), Mac Group around 1880/1890 miaka Takriban 140 yapo makampuni mengi makongwe Nchi hii.
 
Pesa ndugu yangu enzi hizo hiyo nokia ya mche wa sabuni gharama yake unanunua iphone hivi sasa
Sasa hivi simu bei sana, at that time hio miche ilikuwa inauzwa $200-300 hata ukicalculate inflation inakuja kama $400-600. Siku hizi top phones ni $1000 kupanda.
 
Nokia ilikuw zamani jamani.

Kuna Simu moja hivi niliiona mpk leo hii sijaiona tena.

Kipindi hicho NOKIA alikuw anachuana Vikali na Siemens, Motorola na kwa mbaaali Samsung, alafu kuna Mwamba anaitwa Sony Ericson huyu alikuwa na Miundo yake (HD Graphics na Camera yenye kutoa Flashlight kama camera za Shughuli).

Aisee nimekumbuka mbali sana.

Simu yangu ya kwanza kutumia ilikuw ni Nokia, nimecheza sana gem la nyoka kabla ya kuja maswala ya games ktk tovuti za waptrick na kuangalia Porn Redwap..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…