mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
HMD Global wameshafeli
- Simu zao ziko overpriced mpaka unajiuliza unaanzaje kununua Nokia kwa bei kubwa wakati kuna simu kibao zina-offer better specifications kwa same price tag.
- Software ya AndroidOne nayo inakera, bora hata angetengeneza software yake mwenyewe au angetumia hiyohiyo Stock Android halafu ai-modify iwe na Nokia style kama Motorola alivyofanya
- Design nyingi za simu za Nokia nazo huvutia kwa mbele halafu nyuma ndio wanaboronga [emoji1751][emoji1751]
- Hata chipset hawa jamaa wanapunja balaa. Unakuta simu ya laki 8 hadi milioni 1 anaweka Snapdragon 695
- Tangu walipoacha kutengeneza flagships ndio wakaanza kwenda mwelekeo m'baya. Flagship zinasaidia kutangaza jina la kampuni, sasa wao walipotengeneza Nokia 9 Pureview wakaghairi kuendelea na flagships
Nimekuwa nikiandika sana hii android one ni utumbo,sijui wahusika wao hawaoni???
Hii logo ni baada ya kugundua ile ya mwanzo ilikuwa ya kifala,wakaona wbadilike lakini bado caller yao.
Leo hii microsoft wangekomaa na simu zao za windo,hakuna simu ingekuwa faster na fluid optimazed kama hiyo sokoni,maana ram 1gb ya window ilikiwa ni moto,nokia waliyumba sana.