MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
- Thread starter
- #21
Asante sana 254 kwa kuleta challenge,huwa sipendi kujifariji kwamba France maji yanajaa kwenye daraja na sie yakijaa kwetu basi iwe sawa hapana,mfugale flyover kabla halijajengwa walifanya feasibility study and design(Upembuzi yakinifu na usanifu wa kina) sikutaria maji yajae kwenye barabara wakati walishafanya upembuzi yakinifu na baada ya kupata upembuzi wakasanifu ili maji yasikae barabarani lakini cha kushangaza fly over utafikiri ni daraja la mwalimu nyerere(kigamboni).
Hayo mavitu ya upembuzi yakinifu na usanifu alishayakaa mkulu, yanachelewesha Mwambe ahoji kauli ya Rais kuhusu mchakato, upembuzi yakinifu