Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Umenena. Kenya hamna waja wanaobugia kinyesi kama Tanzaniandio hayo hayo ya Tanzania(kasoro njaa tu)..
Umenena. Kenya hamna waja wanaobugia kinyesi kama Tanzaniandio hayo hayo ya Tanzania(kasoro njaa tu)..
Hahahaha....Minyang'au bana
Kweli Tanzania mko mbali sana kwenye kiswahili na hatuwezi wafikia kamwe. Upembuzi dahHahahahahaa ni cha kawaida sana mkuu,kwasisi tunaosikiliza wataalamu wetu hayo maneno wanayatumia sana kwenye kujibu maswali ya wabunge wetu wakitaka kujua maendleo ya miradi......Majibu ya Mawaziri au NW ni kwamba tupo kwenye mchakato au tushamaliza upembuzi yakinifu na sasa mkandarasi anafanya usanifu.
Maweeeeee hapa samaki huwezi kuvua ukawapelekea kule Turkana wanapokula vumbi angalau uwaepushe na utapiamlo MK254 saidia ndugu zako wa jangwani kupata kitoweoViunga vya nairobi [emoji116]
View attachment 1246686View attachment 1246687View attachment 1246688
Viunga vya nairobi [emoji1318]
Tanzania nchi ya maziwa na asali poyoyo wewe..huku sio limbukeni wa chakula tuna uwezo wa kubadilisha vyakula hata aina saba kwa siku maeneo ya vijijini huko ndio usiseme vyakula vinazalishwa mpaka vingine tunasaidia nchi maskini mfano Kenya,Burundi n.k..karibu Tanzania toka hapo Turkana uone baadhi ya nchi za Africa Mashariki(Rwanda,Tanzania na Uganda zilivyobarikiwa)Umenena. Kenya hamna waja wanaobugia kinyesi kama Tanzania
Acha kuhemka ovyoovyo.Hebu niletee evidence mkisaidia Kenya chakulaTanzania nchi ya maziwa na asali poyoyo wewe..huku sio limbukeni wa chakula tuna uwezo wa kubadilisha vyakula hata aina saba kwa siku maeneo ya vijijini huko ndio usiseme vyakula vinazalishwa mpaka vingine tunasaidia nchi maskini mfano Kenya,Burundi n.k..karibu Tanzania toka hapo Turkana uone baadhi ya nchi za Africa Mashariki(Rwanda,Tanzania na Uganda zilivyobarikiwa)
Hahaha kwani hujui unataka evidence gani sasa..Acha kuhemka ovyoovyo.Hebu niletee evidence mkisaidia Kenya chakula
Ninachojua Tanzania haijawahi saidia Kenya chakula na haitawahi..Hahaha kwani hujui unataka evidence gani sasa..
Matatizo ya Afrika, watu hawawekezi kwenye mifereji na mitaro ya maji taka![]()
Hii ni Paris Ufaransa! Wafaransa hawawekezi kwenye mifereji na mitaro ya maji taka!Hii ni Nairobi Kenya!![]()
![]()
![]()
Hilo ni tuta lenye milangoHyo n fly over ama n daraja Sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
At rais mzma hyo ndo fly over alienda
Kuzndua Na mua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Labda kafunikwa na majiBRT iko api apo mkuu
Safi sana kwanza ni utoto na ujinga kujidefend kwa mapungufu ya wengine 254 amechallage hata kama kwao hali ipo hivyo hiipi mamlaka na TZ iwe hivyo.Asante sana 254 kwa kuleta challenge,huwa sipendi kujifariji kwamba France maji yanajaa kwenye daraja na sie yakijaa kwetu basi iwe sawa hapana,mfugale flyover kabla halijajengwa walifanya feasibility study and design(Upembuzi yakinifu na usanifu wa kina) sikutarajia maji yajae kwenye barabara wakati walishafanya upembuzi yakinifu na baada ya kupata upembuzi wakasanifu ili maji yasikae barabarani lakini cha kushangaza fly over utafikiri ni daraja la mwalimu nyerere(kigamboni).
Hiyo flood umeshaiona 😂😂😂This year sijaona flood Nairobi,
Especially now naskia kuna mvua mob sana Kenya since last week,
Seems drainage zote zilifunguliwa
umesahau kuwa hii flyover ni ya publicMatatizo ya Afrika, watu hawawekezi kwenye mifereji na mitaro ya maji taka
![]()
This year sijaona flood Nairobi,
Especially now naskia kuna mvua mob sana Kenya since last week,
Seems drainage zote zilifunguliwa
🙄🙄Kwa mafuriko mmetuzidi kabisa ruangarira. Dream houses huwa zinafunikwa na maji hadi watu wanahamia vijijini
Hupendi mvua?Matatizo ya Afrika, watu hawawekezi kwenye mifereji na mitaro ya maji taka
![]()