Noma sana! Hii fly over ya Tanzania utadhani daraja la Kigamboni

Noma sana! Hii fly over ya Tanzania utadhani daraja la Kigamboni

Hahahahahaa ni cha kawaida sana mkuu,kwasisi tunaosikiliza wataalamu wetu hayo maneno wanayatumia sana kwenye kujibu maswali ya wabunge wetu wakitaka kujua maendleo ya miradi......Majibu ya Mawaziri au NW ni kwamba tupo kwenye mchakato au tushamaliza upembuzi yakinifu na sasa mkandarasi anafanya usanifu.
Kweli Tanzania mko mbali sana kwenye kiswahili na hatuwezi wafikia kamwe. Upembuzi dah
 
Umenena. Kenya hamna waja wanaobugia kinyesi kama Tanzania
Tanzania nchi ya maziwa na asali poyoyo wewe..huku sio limbukeni wa chakula tuna uwezo wa kubadilisha vyakula hata aina saba kwa siku maeneo ya vijijini huko ndio usiseme vyakula vinazalishwa mpaka vingine tunasaidia nchi maskini mfano Kenya,Burundi n.k..karibu Tanzania toka hapo Turkana uone baadhi ya nchi za Africa Mashariki(Rwanda,Tanzania na Uganda zilivyobarikiwa)
 
Tanzania nchi ya maziwa na asali poyoyo wewe..huku sio limbukeni wa chakula tuna uwezo wa kubadilisha vyakula hata aina saba kwa siku maeneo ya vijijini huko ndio usiseme vyakula vinazalishwa mpaka vingine tunasaidia nchi maskini mfano Kenya,Burundi n.k..karibu Tanzania toka hapo Turkana uone baadhi ya nchi za Africa Mashariki(Rwanda,Tanzania na Uganda zilivyobarikiwa)
Acha kuhemka ovyoovyo.Hebu niletee evidence mkisaidia Kenya chakula
 
Matatizo ya Afrika, watu hawawekezi kwenye mifereji na mitaro ya maji taka
2195207_IMG_20190303_191751.jpeg
Hii ni Paris Ufaransa! Wafaransa hawawekezi kwenye mifereji na mitaro ya maji taka!
2004552_paris_flood.jpg
Hii ni Nairobi Kenya!
2196050_IMG_1638.jpg
est.jpg



Hivi hili tatizo kwa hapa Dar ndiyo tuseme limekosa kabisa ufumbuzi au tunasubiri mpaka siku lije lilete madhara makubwa ndiyo ufumbuzi upatikane? Yaani kati ya vitu ambavyo mimi vinanikosesha amani hapa Dar, ni issue ya mafuriko. Na ikiendelea hivi, kuna siku tutakuja kujuta. Tusubirini, time will tell. Na mimi nikisema huwa ni kama nabii. Wahusika mimi nilikuwa naomba sana washughulikie hili tatizo. Mimi naamini lina tiba.
 
Hyo n fly over ama n daraja Sasa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

At rais mzma hyo ndo fly over alienda
Kuzndua Na mua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo ni tuta lenye milango
 
Asante sana 254 kwa kuleta challenge,huwa sipendi kujifariji kwamba France maji yanajaa kwenye daraja na sie yakijaa kwetu basi iwe sawa hapana,mfugale flyover kabla halijajengwa walifanya feasibility study and design(Upembuzi yakinifu na usanifu wa kina) sikutarajia maji yajae kwenye barabara wakati walishafanya upembuzi yakinifu na baada ya kupata upembuzi wakasanifu ili maji yasikae barabarani lakini cha kushangaza fly over utafikiri ni daraja la mwalimu nyerere(kigamboni).
Safi sana kwanza ni utoto na ujinga kujidefend kwa mapungufu ya wengine 254 amechallage hata kama kwao hali ipo hivyo hiipi mamlaka na TZ iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom