Noma sana! Hii fly over ya Tanzania utadhani daraja la Kigamboni


Hayo mavitu ya upembuzi yakinifu na usanifu alishayakaa mkulu, yanachelewesha Mwambe ahoji kauli ya Rais kuhusu mchakato, upembuzi yakinifu
 
Hiki kiswahili kimetisha sana. Utakuwa umekisomea hadi chuo kikuu au vipi? Kwani sio kiswahili cha kawaida kama cha Geza Ulole au Joto la jiwe.
 
mkuu umesababisha asbh yangu iwe nzuri sana kwa haya majibu uliyompa mtoa mada..sijui kwann wabongo tunapenda sana kujidharau.
Kwa hivyo mko radhi kuishi ndani ya maji kama samaki kwa sababu wengine pia wanapitia hayo matatizo?
 
Siku zote nasema mk254 huwa ni mjinga na utoto mwingi
jamaa ni mpumbavu sana analala anaiota Tanzania atachanika msamba mwaka huu mjinga huyu..kawekewa picha kwenye comment ya kwanza tu kaonyeshwa haya matatizo ni ya dunia nzima hadi ufaransa kibaya zaidi hadi nchini kwake yapo naona anaikwepa hiyo comment anaendeleza porojo tu MK254 you need to grow up,dude!
 
Kwa hivyo mko radhi kuishi ndani ya maji kama samaki kwa sababu wengine pia wanapitia hayo matatizo?
Rekebisheni yenu kwanza ndio muhoji matatizo ya wengine..unabisha Kenya Flyover zenu na barabara zenu hazikumbwi na mafuriko?..nahitaji jibu kama unabisha au hubishi
 
Hahahaah akili za fisimaji, so maji yakijaa ufaransa na Nairobi basi justification ya yajae pia kwa mfugare
mkuu umesababisha asbh yangu iwe nzuri sana kwa haya majibu uliyompa mtoa mada..sijui kwann wabongo tunapenda sana kujidharau.
 
Hiki kiswahili kimetisha sana. Utakuwa umekisomea hadi chuo kikuu au vipi? Kwani sio kiswahili cha kawaida kama cha Geza Ulole au Joto la jiwe.
Hahahahahaa ni cha kawaida sana mkuu,kwasisi tunaosikiliza wataalamu wetu hayo maneno wanayatumia sana kwenye kujibu maswali ya wabunge wetu wakitaka kujua maendleo ya miradi......Majibu ya Mawaziri au NW ni kwamba tupo kwenye mchakato au tushamaliza upembuzi yakinifu na sasa mkandarasi anafanya usanifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…