Noma sana! Hii fly over ya Tanzania utadhani daraja la Kigamboni


Hapo kweli, ukiwaskliza wataalam wanapohojiwa bungeni unaweza kujifunza sana misamiati.
 
Huyo sio mbongo ni mkenya mmoja anayenyimwa usingizi na Tanzania, akilala na kuamka ni Tanzania,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijui Kama unayo Ile picha ya mafuriko JNIA? Kuna watu walizitoa Google.
 
Hapo kweli, ukiwaskliza wataalam wanapohojiwa bungeni unaweza kujifunza sana misamiati.
We mjinga nataka unijibu flyover zenu na barabara zenu hazihathiriwi na mafuriko kama hiyo Flyover ya Bongo?
 
Reactions: Oii
Kwenu Hadi uwanja wa Ndege unaadhiriwa sana.
Umesoma tittle ya uzi?..tittle ni flyovers na sio viwanja vya ndege ulivyokuwa mjinga unafikiri mafuriko yanachagua kwa kupiga kwamba hapa ipige hapa isipige hili ni janga la asili popote pale lipo..Hii hapa picha ya mafuriko uwanja wa ndege wa Houston Marekani..Wakenya muache ujinga aisee mafuriko yanatokea popote duniani haijalishi uwanja wa ndege wa Tanzania,kenya,Burundi,USA na kwingineko
 
Kwa mafuriko mmetuzidi kabisa ruangarira. Dream houses huwa zinafunikwa na maji hadi watu wanahamia vijijini
chunga kauli yako tutawaletea picha za wakenya wenzako ambao nyumba zao zimefunikwa na maji sijui kama hii kauli yako utaiweza kuitetea...ila point ni kwamba nchi zetu zinawekeza ktk miundo mbinu mikubwa lkn wanasahau kbs swala la mifereji ukitazama hata izi fly over zinazoengwa yaan mkandarasi aliwekea li flyover outlet za kumwaga maji pembeni au chini
 
Kupitia huu uzi leo nimejua wakenya ni wanafki na wamekimbia uzi shubaamiti kenge..matatizo ya Kenya ndio hayo hayo ya Tanzania(kasoro njaa tu)..sasa nashangaa jitu linaanzisha thread kuisema Tanzania jinsi ilivyokumbwa na Mafuriko..damn! Ni ujinga tu wa wakenya mafuriko ya Kenya ni mabaya kuliko hata ya Tanzania
 
This year sijaona flood Nairobi,
Especially now naskia kuna mvua mob sana Kenya since last week,
Seems drainage zote zilifunguliwa
 
Amekimbia uzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We jamaa bana,mstari wa makalio unakuwasha masaa 24,ukiitaja tanzania ndio muwasho unatulia
 
Hahahaah akili za fisimaji, so maji yakijaa ufaransa na Nairobi basi justification ya yajae pia kwa mfugare
Nilivyomuelewa mjibuji ni kuwa kabla hujakosoa vya wengine hakikisha kwenu kumesalimika na hilo unalo wakosoa kwalo wenzako.

Umakini unatakiwa,kuna jambo tunashindwa kuling'amua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…