Nombeni Msaada: I think jamaa kaniroga

Msipende kupanda usafiri ambao sio public jaribuni kuwa wavilivu wanawake nyie hizo bajaji zinamatukio mengi. Mimi hua sipandi angalau boda

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
It's more likely un healed wound or dirty wound or chronic wound. Usi judge. Also it will disappear after a while. umelogwa nini?? Tembea in hospitals ujionee how things are.
 
Samahani msaada, tafsiri ya haya maneno
"Mida ya udubu"
"Abiria walikuwa weusi kishenzi"
 
Daah sipat picha muonekan wako mleta uz ukoj¿
maan unav andika mtu mwenye busara zake hawez kukuelewa kabisa.
 
Huyo alikuwa mchawi na yawezekana amekufanyia uchawi wa nuksi ukataliwe na kuchukiwa na watu.

Fanya maombi kama unajua kuomba kwa Mungu Aliye Hai au mtafute mtumishi wa kweli wa Mungu akuombee avunje uchawi huo kwa Jina la Yesu.
 
Daah sipat picha muonekan wako mleta uz ukoj¿
maan unav andika mtu mwenye busara zake hawez kukuelewa kabisa.
Kama mwenye busara haelewi lakini asiye na busara anaelewa…Je ni nani kati ya hao atakuwa na busara?
 
Kuna mavitu yanaitwa Donda ndugu hayo madonda hayaponagi na yanatema harufu inakarahisha sana halafu inakua kama ina gundi yani ukikaa nae karibu harufu inakunasa
 
Nadhani harufu ilikuwa ni kali sana kiasi kwamba imekukaa kichwani. Hii hali inaweza kukukuta hata kwenye vyakula pia. Unakula chakula aidha kimepikwa vibaya kikakuchefua siku ukikiona unapata kinyaa unatamani kutapika.

Namna ya kurekebisha inabidi ule chakula kizuri ambacho hakina dosari ili kuondoa ile dhana ya chakula kuwa kibaya kwako.
 
harufu umeshaipata bado kuvaa msuli tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…