Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Jana mida ya udubu nlikuwa naskilizia (dala)x2 nidandie kwenda Mwenge, Manyunyu yalkuwa yanakishi na dalili zlkuwa znaonesha soon kama sio hivi karibuni itakunya.
Ikaja bajaji chap jamaa anataka Buku atukimbize fasta, ila pale kituoni abiria walikuwa weusi kishenzi…wakakaza
Mi nkaona njitusu tu kwani jero shingapi hadi ulowe?
Nikaingia nkakaa ile siti ya nyuma peke yangu, tukawa tunaendelea kuskilizia abiria wa kuja kumalizia izo siti 2.
Akaja jamaa mmoja amevaa msuli akakaa pembeni yangu, tukawa mtu bee pale nyuma..
Tatizo likaanza sasa baada ya yule jamaa kukaa pale,yani harufu fulan ikatanda bajaji nzima kama kuna mbwa kafia mule,yani unaziba pua hamna tofauti na usipoziba mpaka machozi yanatiririka.
Nkaanza kujiuliza nini hiki? Au jamaa ametoka kutahiriwa nini? Lakini mbona kama jamaa ni mtu mzima 40+? Kwanini kavaa msuli unatema hivi?
Nikataka kushuka ila yule jamaa wa bajaji akawasha akimbize bajaji, sasa sijui alifanya vile kuniwahi kabla sjashuka au alifanya vile ili tuwahi kufika mwenge kabla hatujafia mle, maana aliondoka chap sana bajaji ikiwa na watu wawili 2.
nkataka kumwambia asimame fasta nshuke, ila nkahisi utakuwa kama unyanyapaaji kwa binadamu mwenzangu nkaamua nivumilie kibingwa.
Aisee kumbe nmetomber moto, leo ni siku ya pili bado naisikia ile harufu,nikilala nahisi mashuka yangu yametapaka hiyo harufu hata nguo mpya natoa kwenye begi nikiivaa nahisi ina ile harufu.
Nimefua nguo zote na kufanya usafi kwangu lakini bado naisikia.
Sasa swali kwenu waungwana,hii harufu ipo kichwani mwangu tu, is it just in my head au jamaa ameniroga baada ya kuona pale nlitaka kushuka?