BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Oct 1, 2021 #21 Ndio tutambue waafrika ni watu katili sana duniani + wahindi......but sio wote.
La Quica JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,009 Reaction score 2,315 Oct 5, 2021 #22 Nuzulati said: Nimeshangaa sana amejipodoa yaani ilibidi afikishwe Mahakamani hata mafuta hajapaka Click to expand... πππ
Nuzulati said: Nimeshangaa sana amejipodoa yaani ilibidi afikishwe Mahakamani hata mafuta hajapaka Click to expand... πππ
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Oct 5, 2021 #23 Wanawake wengi(si wote)wa ZA ni wakatili mnoo.Wakiongozwa na Zulus.Hata ukibugia "biriani kwenye mamalishe" yake halafu ujidai unataka kukopa,utaipandika/utapata tabu sana.
Wanawake wengi(si wote)wa ZA ni wakatili mnoo.Wakiongozwa na Zulus.Hata ukibugia "biriani kwenye mamalishe" yake halafu ujidai unataka kukopa,utaipandika/utapata tabu sana.
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,929 Oct 5, 2021 #24 Styx Charon said: Dah kweli pesa mwanaharamu asee. Huyo mpaka mama yake alitaka kumuondoa duh. Click to expand... Mchawi sio lazima awe na tunguli bali hata matendo ya pia mtu ni uchawi.
Styx Charon said: Dah kweli pesa mwanaharamu asee. Huyo mpaka mama yake alitaka kumuondoa duh. Click to expand... Mchawi sio lazima awe na tunguli bali hata matendo ya pia mtu ni uchawi.