Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Maendeleo mara nyingi sana yanaletwa na non tax revenue na sio tax revenue
Hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza jibu ni non tax revenue ambazo zinajumuisha madini, mafuta & gesi, na monopoly kwenye baadhi ya huduma kama mwendokasi
Mfano kwa Tanzania non-Tax revenue ni kama zifuatazo:-
Tax revenue ni kama zifuatazo kwa Tanzania
Faida za kuwa na base kubwa ya non tax revenue
Kwanini Europe imeendelea jibu ni kupitia vyanzo vifuatavyo
GULF COUNTRIES
Moja ya sàbabu ya gulf countries kama saud arabia, Qatar, UAE, na Kuwait kuendelea kwa kasi sana ni kwa sababu ya non tax revenue kutoka wapi walifanyaje;-
MAREKANI
Sababu kubwa mbili za marekani kuendelea sana:-
Baadae utumwa umepigwa marufuku kukaanzishwa Jim crow law ambao ni utumwa uliendelea indirect kupitia starvation wages kama kawaida marekani ikaendelea kuvuna utajir kupitia cheap labour.
Miaka ya 1960's baada ya Jim crow kutamatika ndo tunaona viwanda vya marekani vinaanza kufa kwa kasi sana kwa sababu wale cheap labour kupitia Jim crow hawapo tena mpaka leo hii services ndo iko dominated wanalazimisha kurudisha viwanda ila inakua ngumu sana
Swali kwanini nchi za afrika zinateseka kuondoka kwenye umaskini
Kushindwa kusimamia non tax revenue ni kukubali kuendelea kuishi kwenye umaskini kama nchi

- Mwendokasi
- Vivuko
- Drilling za natural gas
- Pipeline za natural gas
- Vyanzo vya kuzalisha umeme kama hydropower na gesi
- Bandari
- Mbuga za wanyama
Tax revenue ni kama zifuatazo kwa Tanzania
- Indirect tax
- Corporate rate tax
- Income tax
- Import duties
- Business license tax
Faida za kuwa na base kubwa ya non tax revenue
- Kupunguza mzigo wa kodi kwa wananchi na wafanyabiashara
- Kupunguza tozo ambazo zinaongezeka kila uchwao
Kwanini Europe imeendelea jibu ni kupitia vyanzo vifuatavyo
- Non-tax revenues kutoka kwenye makoloni yaliyotapakaa dunia nzima waliweza kutengeneza utajiri mkubwa sana tax free kutoka kwenye makoloni yao zaidi ya miaka 400+ ndo maana Europe iliweza kupiga hatua sana kimaendeleo.
- Nchi nyingi kupata uhuru vile vyanzo non tax revenue viliota mbawa na ile kasi ya maendeleo ulaya ilikuwepo ila kuanzia 1980's ikaanza kupungua kwa speed sana sababu vile visima vya mafuta kule uarabuni wakaanza kumiliki makampuni ya wazawa mfano mzuri ni nchi kama England ilipoteza vyanzo vyake vingi sana vya mapato na ilipokuja iran revolution BP ikapoteza visima vyote vya mafuta ilivyokuwa inamiliki iran. Matokeo yake speed ya maendeleo ulaya imepungua sababu
- Tax imekua kubwa sana kwa sababu non tax revenue imeota mbawaa kwa kupoteza makoloni-kodi ikiwa kubwa inaua au kupunguza shughuli za kiuchumi
- Europe hawana raw materials inabdi wanunue kumbuka wakatai wa ukoloni walikuwa wanajichotea tu kwenye makoloni yao
GULF COUNTRIES
Moja ya sàbabu ya gulf countries kama saud arabia, Qatar, UAE, na Kuwait kuendelea kwa kasi sana ni kwa sababu ya non tax revenue kutoka wapi walifanyaje;-
- Walihakikisha oil drilling, natural gas drilling na refinery, wanamiliki wao na sio kuwapa kampuni za kizungu na hatua hii ilizifanya kuwa na base kubwa sana ya non tax revenue na wakaitumia kwenye kuendeleza nchi zao kumbuka hizi nchi hata income tax, vat walikuwa hawana sahivi ndo wakafikria kuzianzisha baada ya non tax revenue kuanza kupungua.
MAREKANI
Sababu kubwa mbili za marekani kuendelea sana:-
- Utumwa ndo sababu kubwa sana ya marekani kuendelea unawafanyakazi wanakufanyia kazi huwalipi chochote zaidi ya kuwapa chakula kwanini usiwe tajiri
- Banana Republic era makampuni ya ndizi mbivu kutoka marekani yalikuwa na mashamba Caribbean na South America na yalifanya biashara ya ndizi tax free bila kulipa kodi kwenye hizo nchi za Caribbean na South America, na pia walikuwa hawawalipi wafanyakazi mashahara zaidi ya kuwapa vocha-ulikuwa ni mwendo wa kuvuna fedha
Baadae utumwa umepigwa marufuku kukaanzishwa Jim crow law ambao ni utumwa uliendelea indirect kupitia starvation wages kama kawaida marekani ikaendelea kuvuna utajir kupitia cheap labour.
Miaka ya 1960's baada ya Jim crow kutamatika ndo tunaona viwanda vya marekani vinaanza kufa kwa kasi sana kwa sababu wale cheap labour kupitia Jim crow hawapo tena mpaka leo hii services ndo iko dominated wanalazimisha kurudisha viwanda ila inakua ngumu sana
Swali kwanini nchi za afrika zinateseka kuondoka kwenye umaskini
- Kutokumiliki non tax revenue mfano recently serikali ya Tanzania imeshindwa kuendesha mwendokasi na imempa mwekezaji lile ni kosa kubwa sana sababu mwendokasi ni non tax revenue ambayo kama nchi tungeitumia effectively tungefika mbali sana
- Kosa lingine walilofanya nchi za kiafrika ni kuwapa watu wawekeze kwenye madini mfano nenda kanda ya ziwa kuna migodi mingi ya wazungu/foreigner kwa miaka 20 lakini kuna umaskini wa kutisha- kama ile migodo ingekuwa chini ya serikali nakuhakikishia kungeendelea
- Kosa walilofanya Nigeria, Angola, Gabon, equatorial guinea ndo lile lile walilofanya uganda unampaje rasilimali yako kampuni ya kigeni kumbuka hizo rasilimali ndo zinazounda non tax revenue ila unampa mgeni hili ni kosa kubwa sana faida uliyokuwa unaipata wewe yote mnaenda kugawana
Kushindwa kusimamia non tax revenue ni kukubali kuendelea kuishi kwenye umaskini kama nchi