Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #21
Hujui hata tax revenue na non-tax revenue ni nini kwa hiyo huwezi nielewaKwahio mawazo yako yanabadilika kulinga na UZI na Post unayotoa ? Ulichoongelea kule na sisi kuja juu kutokana na your train of thoughts tulikuwa tunakuleta huku kwa upande mdogo ingawa hata huku huenda kuna mambo ya kuboresha au haupo accurately 100 percent lakini hata kabla hatujaongelea hapa na kujadili kwa hoja inabidi tujiulize which is which au what has changed ? Bado unaona kila mtu alimwe Buku kwenye kitendea kazi (SIMU) ?