nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini kifanyike ili tujikwamue hapa tulipo
Alichezea timu gani hapa TZ? Funguka Mkuu.
we makoye utakuwa kizazi cha bongo freva japo avatal yako inaonyesha ni wa enzi ya patick lumumba
Naomba uniwekee picha akiwa na kikosi cha timu aliyochezea hapa Tanzania.Mkuu jibu ninalo, ndetichia kajibu kinazi sana. Nataka ujibu wewe kwa ufasaha kwa manufaa ya kizazi hicho ulichokitaja. Tafadhali tiririka Mkuu. Baada ya hapo twende kwenye updates za Azam, Simba na MCC.
wikipedia ndio nini yeye mwenyewe kakili hivyo kati ya timu za mwanzo kabisa alizopitia ni pamoja na Dar young african ukibisha ntajua we ni mnazi wa simbaUkipitia Wikipedia, hakuna mahali inapoonyesha aliwahi kuichazea Yanga katika Senior career, kwa hiyo wala hawahesabu kama aliwahi kuichezea Yanga
nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini kifanyike ili tujikwamue hapa tulipo
Hapana, hakuenda Ulaya kutokea Yanga, alienda Ulaya akitokea Vaal Professional ya Afrika ya Kusini. Kwa ufupi alipotoka Yanga kama mchezaji wa kikosi cha vijana alienda Afrika Kusini ambako ndipo alipoanzia kazi haswa ya soka la wakubwa.Anaitwa-Nonda Shaban Papii, ni kweli aliwahi chezea yanga na alienda ulaya akaanza na ligi daraja la pili....mshahara aloanza nao miaka hiyo nakumbuka ulikuwa ni tshs 14m @wiki.....sikumbuki mwaka halisi(1990's) wala timu aloenda cheza huko Ulaya...
sina uhakika sana..ila huyo wa pili kushoto toka kwa kipa wamefanana...Naomba uniwekee picha akiwa na kikosi cha timu aliyochezea hapa Tanzania.
... vya pombe je?Mkitaka mafanikio mwanzishe vilabu vya matusi, majungu, ufataani, uongo, wizi , uvivu, uzandik.
Hivyo mtachukuwa namba moja duniani kila mwaka.
Alichezea timu gani hapa TZ? Funguka Mkuu.
... vya pombe je?
sina uhakika sana..ila huyo wa pili kushoto toka kwa kipa wamefanana...