Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Mbona umemsahau Jembe Ulaya...Kipindi Ezekiel Mwalongo anatangaza mpira Nonda aliklshakuwa zake Ulaya anapiga Kazi. Yanga ya wakina Nonda ilikuwa habari nyingine,golini kuna Kalokola,namba mbili kuna Silvatus Ibrahim "Polisi",tatu kuna Kenneth Mkapa, Nne kuna Mzee Abdalah tano kuna Constantine Kimanda,viungo kuna Salvatory,Yusuph Macho,Tigana,winga kuna Sanifu Lazaro na Lunyamila,Akida Makunda, mbele kuna Nonda,Machinga.
Sent using Jamii Forums mobile app