Nonda Shaaban ndiye mwanasoka mwenye mafanikio makubwa aliecheza Ligi Kuu Tanzania kwa miaka 20 iliyopita

Nonda Shaaban ndiye mwanasoka mwenye mafanikio makubwa aliecheza Ligi Kuu Tanzania kwa miaka 20 iliyopita

Kipindi Ezekiel Mwalongo anatangaza mpira Nonda aliklshakuwa zake Ulaya anapiga Kazi. Yanga ya wakina Nonda ilikuwa habari nyingine,golini kuna Kalokola,namba mbili kuna Silvatus Ibrahim "Polisi",tatu kuna Kenneth Mkapa, Nne kuna Mzee Abdalah tano kuna Constantine Kimanda,viungo kuna Salvatory,Yusuph Macho,Tigana,winga kuna Sanifu Lazaro na Lunyamila,Akida Makunda, mbele kuna Nonda,Machinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umemsahau Jembe Ulaya...
 
Kweli huku JF sasa hivi pamejaa sana bongo fleva....Nonda Shaaban Papii kacheza sana Yanga na alikua anawafunga sana simba enzi hizo...alitokea burundi ingawa walikua wanasema ni mtu wa kigoma..alivyotoka yanga alienda south africa ndo then akaibukia ufaransa....
Yanga ya wakati huo ilikuwa moto kweli kweli. Simba alikuwa anachezea kichapo. Nakumbuka ukuta ulijengwa na kina Ngandu Ramadhan kama beki 2, Keneth Pius Mkapa beki 3 huku katikati akikaa constatine Kimanda
 
Ukipitia Wikipedia, hakuna mahali inapoonyesha aliwahi kuichazea Yanga katika Senior career, kwa hiyo wala hawahesabu kama aliwahi kuichezea Yanga
Mtu muongo hukamatwa kwa ushahidi mujarabu kbs
Screenshot_20201226-215232.jpg
Screenshot_20201226-215248.jpg


Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20201226-215248.jpg
    Screenshot_20201226-215248.jpg
    35.8 KB · Views: 4
Alichezea timu ya Wakimataifa (Young Africans SC). Ndio maana tunaitwa Wakimataifa. Nonda Shaban alicheza UEFA Champions League. Alikuwa anamzimikia sana Edibily Lunyamila. Kuna wakati alikuwa anasema kama atacheza kama anavyocheza Lunyamila basi atakuwa amepata mafanikio makubwa!
Sio Mtanzania, mnajivunia mgeni? hopeless
 
Back
Top Bottom