Nonda Shaaban ndiye mwanasoka mwenye mafanikio makubwa aliecheza Ligi Kuu Tanzania kwa miaka 20 iliyopita

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,668
Reaction score
1,017
nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini kifanyike ili tujikwamue hapa tulipo
 
Attachments

  • 535960_405652416193959_722524987_n.jpg
    535960_405652416193959_722524987_n.jpg
    19.5 KB · Views: 465
nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini kifanyike ili tujikwamue hapa tulipo

Alichezea timu gani hapa TZ? Funguka Mkuu.
 
we makoye utakuwa kizazi cha bongo freva japo avatal yako inaonyesha ni wa enzi ya patick lumumba

Mkuu jibu ninalo, ndetichia kajibu kinazi sana. Nataka ujibu wewe kwa ufasaha kwa manufaa ya kizazi hicho ulichokitaja. Tafadhali tiririka Mkuu. Baada ya hapo twende kwenye updates za Azam, Simba na MCC.
 
Last edited by a moderator:

Naomba uniwekee picha akiwa na kikosi cha timu aliyochezea hapa Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Ukipitia Wikipedia, hakuna mahali inapoonyesha aliwahi kuichazea Yanga katika Senior career, kwa hiyo wala hawahesabu kama aliwahi kuichezea Yanga
 
wikipedia ndio nini yeye mwenyewe kakili hivyo kati ya timu za mwanzo kabisa alizopitia ni pamoja na Dar young african ukibisha ntajua we ni mnazi wa simba
 
nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini kifanyike ili tujikwamue hapa tulipo

Anaitwa-Nonda Shaban Papii, ni kweli aliwahi chezea yanga na alienda ulaya akaanza na ligi daraja la pili....mshahara aloanza nao miaka hiyo nakumbuka ulikuwa ni tshs 14m @wiki.....sikumbuki mwaka halisi(1990's) wala timu aloenda cheza huko Ulaya...
 
Hapana, hakuenda Ulaya kutokea Yanga, alienda Ulaya akitokea Vaal Professional ya Afrika ya Kusini. Kwa ufupi alipotoka Yanga kama mchezaji wa kikosi cha vijana alienda Afrika Kusini ambako ndipo alipoanzia kazi haswa ya soka la wakubwa.

http://en.wikipedia.org/wiki/Shabani_Nonda
 
Naomba uniwekee picha akiwa na kikosi cha timu aliyochezea hapa Tanzania.
sina uhakika sana..ila huyo wa pili kushoto toka kwa kipa wamefanana...
s67929677.jpg
arton2163-5360c.jpg
 
Huyu aliwah kucheza monaco...ndko alkopata mafanikio,,,albeba had ndo ya uefa
 
Hadi leo hatuna mtanzania yoyote anaecheza soka kwenye ligi yoyote ya maana dunia hii
 
Kweli huku JF sasa hivi pamejaa sana bongo fleva....Nonda Shaaban Papii kacheza sana Yanga na alikua anawafunga sana simba enzi hizo...alitokea burundi ingawa walikua wanasema ni mtu wa kigoma..alivyotoka yanga alienda south africa ndo then akaibukia ufaransa....
 
Back
Top Bottom