Mbona umemsahau Jembe Ulaya...Kipindi Ezekiel Mwalongo anatangaza mpira Nonda aliklshakuwa zake Ulaya anapiga Kazi. Yanga ya wakina Nonda ilikuwa habari nyingine,golini kuna Kalokola,namba mbili kuna Silvatus Ibrahim "Polisi",tatu kuna Kenneth Mkapa, Nne kuna Mzee Abdalah tano kuna Constantine Kimanda,viungo kuna Salvatory,Yusuph Macho,Tigana,winga kuna Sanifu Lazaro na Lunyamila,Akida Makunda, mbele kuna Nonda,Machinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ya wakati huo ilikuwa moto kweli kweli. Simba alikuwa anachezea kichapo. Nakumbuka ukuta ulijengwa na kina Ngandu Ramadhan kama beki 2, Keneth Pius Mkapa beki 3 huku katikati akikaa constatine KimandaKweli huku JF sasa hivi pamejaa sana bongo fleva....Nonda Shaaban Papii kacheza sana Yanga na alikua anawafunga sana simba enzi hizo...alitokea burundi ingawa walikua wanasema ni mtu wa kigoma..alivyotoka yanga alienda south africa ndo then akaibukia ufaransa....
Mtu muongo hukamatwa kwa ushahidi mujarabu kbsUkipitia Wikipedia, hakuna mahali inapoonyesha aliwahi kuichazea Yanga katika Senior career, kwa hiyo wala hawahesabu kama aliwahi kuichezea Yanga
Waliochuchumaa wapili toka mkono wako wa shoto ndo Jembe ulaya.Hapo bakari malima au jembe ulaya ndo yuko wapi? maana nasikiaga story zake kwenye redio akiwa na huyo rafik yake nondwa shabani enzi hizo.
Sio Mtanzania, mnajivunia mgeni? hopelessAlichezea timu ya Wakimataifa (Young Africans SC). Ndio maana tunaitwa Wakimataifa. Nonda Shaban alicheza UEFA Champions League. Alikuwa anamzimikia sana Edibily Lunyamila. Kuna wakati alikuwa anasema kama atacheza kama anavyocheza Lunyamila basi atakuwa amepata mafanikio makubwa!