Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini kifanyike ili tujikwamue hapa tulipo
Mafanikio Yake hayo Yametokana na Kujituma Kwake na Haswa Kutoridhika Kuchezea Yanga Na Nakumbuka Nonda Shaaban Papii Alikuwa na Tabia Ya Kukimbia Kutoka Mwenge hadi Tegeta Tena Mida Ya Saa 8 Mchana Jua Kali Huku Akina Mohamed Hussein Mmachinga na Wachezaji Wengine Wa Kibongo Wakimcheka na Kumdhihaki Kisha Taratibu Akawaacha na Kutimikia Bondeni Kukipiga na Vaal Professionals FC na Blackpool FC na Hatimaye Kutimkia Zake Ufaransa Olympic Marseille na Klabu Zingine Hadi Kuwa Maarufu, Tajiri na Nyota na Cha Kusikitisha Wale Wale Waliokuwa Wakimcheka Leo Amewajengea Hadi Nyumba hapa Jijini Dar na Wakitaka Kumsalimia ni Mpaka Kwa Ruhusa Maalum Kutoka Kwa Wapambe Wake. Wachezaji wa Tanzania Ni Vicha Ngumu na Pasua Kichwa.
Si kweli nachojua Monaco walifungwa fainali ya CL 2004 na Porto magoli 3 kwa bilaHuyu aliwah kucheza monaco...ndko alkopata mafanikio,,,albeba had ndo ya uefa
Huyu aliwah kucheza monaco...ndko alkopata mafanikio,,,albeba had ndo ya uefa
Alichezea timu ya Wakimataifa (Young Africans SC). Ndio maana tunaitwa Wakimataifa. Nonda Shaban alicheza UEFA Champions League. Alikuwa anamzimikia sana Edibily Lunyamila. Kuna wakati alikuwa anasema kama atacheza kama anavyocheza Lunyamila basi atakuwa amepata mafanikio makubwa!Alichezea timu gani hapa TZ? Funguka Mkuu.
Naomba uniwekee picha akiwa na kikosi cha timu aliyochezea hapa Tanzania.
Mohamed Hussein ‘Mmachinga’......alikuwa anasugulishwa benchi yanga enzi za kina nani huyu...
Tena Porto ya Morino,ndoo ya uefa aliibeba akiwa inter mailan na ni morno aliyemuingiza sub.Si kweli nachojua Monaco walifungwa fainali ya CL 2004 na Porto magoli 3 kwa bila
Acha fix wewe huyo hakiwa Nonda,alikuwa Macdonald MarigaTena Porto ya Morino,ndoo ya uefa aliibeba akiwa inter mailan na ni morno aliyemuingiza sub.
sina uhakika sana..ila huyo wa pili kushoto toka kwa kipa wamefanana...
![]()
![]()
Yanga.Alichezea timu gani hapa TZ? Funguka Mkuu.
...acha kuwa fwala!.,yani unarudia kucomment kitu kile kile ulichocomment miaka 3 iliyopita!?.,kwanini basi usiongeze wewe taarifa watu wajifunze!Kumbe humu wamejaa watoto waliozaliwa 1990-1999. Kama hujawahi kumuona Nonda akicheza mpira Uwanja wa Taifa wa zamani aka Uhuru Stadium au akipiga zoezi Kaunda Stadium au uswahilini akicheza kama "Jeshi" acha kufuatilia mpira kwa herufi KUBWA.
ndoo ya UEFA?Huyu aliwah kucheza monaco...ndko alkopata mafanikio,,,albeba had ndo ya uefa
Jembe Ulaya huwa akisimulia hii story hadi chozi linamtoka maskini. Walikuwa ma-besti sana jamaa akatoka yeye akabakia bongo kusanga lami kama sisi.Mafanikio Yake hayo Yametokana na Kujituma Kwake na Haswa Kutoridhika Kuchezea Yanga Na Nakumbuka Nonda Shaaban Papii Alikuwa na Tabia Ya Kukimbia Kutoka Mwenge hadi Tegeta Tena Mida Ya Saa 8 Mchana Jua Kali Huku Akina Mohamed Hussein Mmachinga na Wachezaji Wengine Wa Kibongo Wakimcheka na Kumdhihaki Kisha Taratibu Akawaacha na Kutimikia Bondeni Kukipiga na Vaal Professionals FC na Blackpool FC na Hatimaye Kutimkia Zake Ufaransa Olympic Marseille na Klabu Zingine Hadi Kuwa Maarufu, Tajiri na Nyota na Cha Kusikitisha Wale Wale Waliokuwa Wakimcheka Leo Amewajengea Hadi Nyumba hapa Jijini Dar na Wakitaka Kumsalimia ni Mpaka Kwa Ruhusa Maalum Kutoka Kwa Wapambe Wake. Wachezaji wa Tanzania Ni Vicha Ngumu na Pasua Kichwa.