Nonda Shaaban ndiye mwanasoka mwenye mafanikio makubwa aliecheza Ligi Kuu Tanzania kwa miaka 20 iliyopita

Nonda Shaaban ndiye mwanasoka mwenye mafanikio makubwa aliecheza Ligi Kuu Tanzania kwa miaka 20 iliyopita

Kumbe humu wamejaa watoto waliozaliwa 1990-1999. Kama hujawahi kumuona Nonda akicheza mpira Uwanja wa Taifa wa zamani aka Uhuru Stadium au akipiga zoezi Kaunda Stadium au uswahilini akicheza kama "Jeshi" acha kufuatilia mpira kwa herufi KUBWA.
So unajidai na uzee wako [emoji3]

Unajua huo umri wako ushafika alasiri weye[emoji23]

Nonda shaban papii enzi za akina ezekiel malongo wakitangaza mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So unajidai na uzee wako [emoji3]

Unajua huo umri wako ushafika alasiri weye[emoji23]

Nonda shaban papii enzi za akina ezekiel malongo wakitangaza mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi Ezekiel Mwalongo anatangaza mpira Nonda aliklshakuwa zake Ulaya anapiga Kazi. Yanga ya wakina Nonda ilikuwa habari nyingine,golini kuna Kalokola,namba mbili kuna Silvatus Ibrahim "Polisi",tatu kuna Kenneth Mkapa, Nne kuna Mzee Abdalah tano kuna Constantine Kimanda,viungo kuna Salvatory,Yusuph Macho,Tigana,winga kuna Sanifu Lazaro na Lunyamila,Akida Makunda, mbele kuna Nonda,Machinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi Ezekiel Mwalongo anatangaza mpira Nonda aliklshakuwa zake Ulaya anapiga Kazi. Yanga ya wakina Nonda ilikuwa habari nyingine,golini kuna Kalokola,namba mbili kuna Silvatus Ibrahim "Polisi",tatu kuna Kenneth Mkapa, Nne kuna Mzee Abdalah tano kuna Constantine Kimanda,viungo kuna Salvatory,Yusuph Macho,Tigana,winga kuna Sanifu Lazaro na Lunyamila,Akida Makunda, mbele kuna Nonda,Machinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka nlikuwa namuonaga nonda, maana wkt huo nlikuwa karibu sana na mzee abdala
Ila nonda alikuwa anajifua sana na alikuwa na nidham ya Hali ya juu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
A
Hapana, hakuenda Ulaya kutokea Yanga, alienda Ulaya akitokea Vaal Professional ya Afrika ya Kusini. Kwa ufupi alipotoka Yanga kama mchezaji wa kikosi cha vijana alienda Afrika Kusini ambako ndipo alipoanzia kazi haswa ya soka la wakubwa.

Shabani Nonda - Wikipedia
alipotoka vaal proffesional alienda grasshoper ya uswis baadae akaenda monaco kisha blackburn rovers akamslizia kwa wahuni galatasaray SK
 
Mafanikio Yake hayo Yametokana na Kujituma Kwake na Haswa Kutoridhika Kuchezea Yanga Na Nakumbuka Nonda Shaaban Papii Alikuwa na Tabia Ya Kukimbia Kutoka Mwenge hadi Tegeta Tena Mida Ya Saa 8 Mchana Jua Kali Huku Akina Mohamed Hussein Mmachinga na Wachezaji Wengine Wa Kibongo Wakimcheka na Kumdhihaki Kisha Taratibu Akawaacha na Kutimikia Bondeni Kukipiga na Vaal Professionals FC na Blackpool FC na Hatimaye Kutimkia Zake Ufaransa Olympic Marseille na Klabu Zingine Hadi Kuwa Maarufu, Tajiri na Nyota na Cha Kusikitisha Wale Wale Waliokuwa Wakimcheka Leo Amewajengea Hadi Nyumba hapa Jijini Dar na Wakitaka Kumsalimia ni Mpaka Kwa Ruhusa Maalum Kutoka Kwa Wapambe Wake. Wachezaji wa Tanzania Ni Vicha Ngumu na Pasua Kichwa.
Kweli mkuu, wachezaji wa Bongo hawajitambui. Maana hata Mbwana Samata alikuwa anachekwa na wachezaji wa Simba alipokuwa anafika Shamba la Bibi saa 10 usiku kwa ajili ya kufanya mazoezi. Leo hii hao hao wanamgongea mkwanja Mbwana Samata.
 
Ukipitia Wikipedia, hakuna mahali inapoonyesha aliwahi kuichazea Yanga katika Senior career, kwa hiyo wala hawahesabu kama aliwahi kuichezea Yanga
Ligi ya Tanzania wakati huo huo ilikuwa sio ya kulipwa was not a Professional players soccer league, ilikuwa ya ridhaa ingawa timu zake zilinunua wachezaji toka nje.
 
wikipedia ndio nini yeye mwenyewe kakili hivyo kati ya timu za mwanzo kabisa alizopitia ni pamoja na Dar young african ukibisha ntajua we ni mnazi wa simba
Tulokuwa tayari wakubwa tulimuona Nonda akicheza Yanga.Alijiunga Yanga kipindi cha George Mpondela na akina Salvatus Ibrahim polisi, Maalim m Salehe,Sadick Kalokola na wengineo.Miaka hiyohiyo ya 1994 waliweka kambi Nyegezi mwanza na wakifanya mazoezi uwanja wa sekondari ya Nsumba.Nonda alicheza Yanga na akina Beny Luoga na Bakari Malima na Yanga ilipocheza na Vaal Professions ndo yeye na Bakari Malima wakachukuliwa.
 
nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini kifanyike ili tujikwamue hapa tulipo
Nonda shaabani sio mtanzania,ni mkongo aliyecheza tanzania
 
Kweli huku JF sasa hivi pamejaa sana bongo fleva....Nonda Shaaban Papii kacheza sana Yanga na alikua anawafunga sana simba enzi hizo...alitokea burundi ingawa walikua wanasema ni mtu wa kigoma..alivyotoka yanga alienda south africa ndo then akaibukia ufaransa....
Acha uongo nitajie mechi aliyowafunga Simba.
Kwa kifupi alipokuwa yanga alionekana mchezaji wa kawaida ila alipoenda south na baadae uswisi ndio uwezo wake ulipoonekana
 
sina uhakika sana..ila huyo wa pili kushoto toka kwa kipa wamefanana...
s67929677.jpg
arton2163-5360c.jpg
Hapo bakari malima au jembe ulaya ndo yuko wapi? maana nasikiaga story zake kwenye redio akiwa na huyo rafik yake nondwa shabani enzi hizo.
 
Back
Top Bottom