North Korea kupeleka Wanajeshi 100,000 kuwafyeka wanamgambo wa NATO

North Korea kupeleka Wanajeshi 100,000 kuwafyeka wanamgambo wa NATO

North Korea inapeleka wanajeshi 100000 Nchini Russia kusaidia kuwaminya kende wanamgambo wa NATO
โš ๏ธ ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ โš ๏ธ

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ต | ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ ๐˜๐—ผ ๐˜€๐—ฒ๐—ป๐—ฑ ๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—ผ๐—ฝ๐˜€ ๐˜๐—ผ ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒโ€ฆ

๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ต ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ has reportedly offered to send ๐—ฅ๐˜‚๐˜€๐˜€๐—ถ๐—ฎ up to ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ troops to ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒ.

Early reports indicate ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ต ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ is considering a ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ military response to ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒ.
Hajawahi kupigana vita hii ndio njia pekee kuwajaribu askari wake kama wako tayari kwa kazi. Anapeleka team B, ikifanya vizuri basi anajua Team A iko safi kwa kazi.
 
Hakuna kitu kama hicho, Belarus mshirika mkubwa wa urus ameshindwa kupeleka moja kwa moja jeshi Ukraine Leo N. Korea? Vita vina Sheria zake mkuu, kumbuka hapo Kuna mvamizi na mpigania Ardhi yake Sasa kusema upeleke jeshi likapigane ndani ya nchi inayojilinda utakuwa unatafuta balaa. Hata Urus hawawezi kukubalia maana atakuwa kaleta hatari mpakani na nchini mwake.
 
Mkuu tupo hapa south Korea imemshinda Leo akapambane na Ukraine? Silaha alikuwa anapeleka kwa siri kuiogopa kibano Cha Marekani. Hivi unajua kipi kitatokea endapo watapeleka jeshi Ukraine? Umoja wa ulaya utawachekea tu eee
Bwana Russia walipopeleka jeshi Ukraine kilitokea mini
Umoja was ulaya marekani pamoja Na NATO no chui wamakaratasi to Havana maajabu
 
Walianza jeshi la miamvuli wakafyekwa, wakaja. Chenchen (jeshi la tiktok) na chali, wakaja wafungwa chali, wakafata wegna nao chali now north korea wale ukiwapa chakula tu wanapigana kama siafu koz kwao kuna njaa kali.
Hakutakua na maajabu
Russia amenivunja moyo wangu
Bad kukuvunja Na miguu
 
North Korea atawasafisha hao wanajeshi wa NATO, kwani hao wanajeshi wa NATO mbona wanapigana na Mrusi peke yake wamemshindwa.

Akienda North Korea hao ni kiboko US anawafahamu walisha mtia adabu.
wagner , chenchen fighters , ukraine traitors , prisoners , irab drones , hypersonic , russian soldiers etc
 
Hizo sura ni za kazi kwelikweli.siyo wale waigizaji wa kubeba mabokis uwanja wa uhuru na kuudanganya umma wamebeba kilo100
Kama ameshindwa Rusia jeshi la Korea sidhani kama litasaidia, hao wengine lazima wajisalimishe kwa makusudi kwa jeshi la Ukraine ili wapate njia ya kukimbia adha za utawala wa Korea
 
Kama ameshindwa Rusia jeshi la Korea sidhani kama litasaidia, hao wengine lazima wajisalimishe kwa makusudi kwa jeshi la Ukraine ili wapate njia ya kukimbia adha za utawala wa Korea
Ni kweli wengi watatoroka na kujisalimisha Ukraine

Wakijua ndio tiketi ya kupata ukimbizi Ulaya na marekani
 
Mkuu tupo hapa south Korea imemshinda Leo akapambane na Ukraine? Silaha alikuwa anapeleka kwa siri kuiogopa kibano Cha Marekani. Hivi unajua kipi kitatokea endapo watapeleka jeshi Ukraine? Umoja wa ulaya utawachekea tu eee
Kama anarusha maputo ya kinyesi kwenda Korea kusini kwanini ashindwe kufanya mengine!?
Kama alifanya majaribio ya makombora katika mipaka ya visiwa vya S.korea na Japan kwanini ashindwe kupeleka jeshi!?
Hao EU wanaweza nini!?
EU equals to blant knives.
 
North Korea inapeleka wanajeshi 100000 Nchini Russia kusaidia kuwaminya kende wanamgambo wa NATO
โš ๏ธ ๐๐ซ๐ž๐š๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ โš ๏ธ

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ต | ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ ๐˜๐—ผ ๐˜€๐—ฒ๐—ป๐—ฑ ๐˜๐—ฟ๐—ผ๐—ผ๐—ฝ๐˜€ ๐˜๐—ผ ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒโ€ฆ

๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ต ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ has reportedly offered to send ๐—ฅ๐˜‚๐˜€๐˜€๐—ถ๐—ฎ up to ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐Ÿฌ,๐Ÿฌ๐Ÿฌ๐Ÿฌ troops to ๐—ณ๐—ถ๐—ด๐—ต๐˜ ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒ.

Early reports indicate ๐—ก๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ต ๐—ž๐—ผ๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ is considering a ๐—บ๐—ฎ๐˜€๐˜€๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ military response to ๐—จ๐—ธ๐—ฟ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฒ.
Kama atapeleka kweli hao askari Ukraine watateketea sana aisee.
Kama askari wa Korea kaskazini sio poa hata upunje.
Tumuombe Mungu asiwapeleke maana Ukraine itateseka mara dufu.
 
Back
Top Bottom