britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Ni maisha fulan amizing .
Tumeaminishwa Mengi yasiyo sahihi
Nimepita maeneo wanayosema hatari kwa mweusi nikiwa Mwenyewe bila escort, nimefanikiwa kupiga piga vi video kidogo japo kwa kujiiba sana
1. Pombe wanakunywa kawaida na wana Uhuru kwa hilo wanaopiga Maji hawabughudhiwi, Bar ziko open Muda wote na Muziki ya Korea ya Taratibu taratibu
2. Nimeenda Maeneo ya wadada wanaojiuza nimeshangaa Sana Kuna wachache mno ambao inabidi Uwe makin sana maana Polisi wakikukuta maeneo Yale utajuta! Maana katika mämbo yanayokatazwa ni hilo Pia