njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
We jamaa inabidi uweke uzi kila baada ya dakika 30 vinginevyo tutajua tayari firing squad kwa wakati wao waendelee ,nb hizo record zako hizo mpwa wetu tusimulie tu mana hapo kama unafanya ujasusi ujue