STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Oct 14, 2020 #121 FRANC THE GREAT said: "Kilichobakia" kitu gani? "Mnachokiwaza" kina nani? Click to expand... Vichwa vyenu vilivyo mafuvu ndio mnawaza eti makombora yatawaripukia wenyewe, usijitoe ufahamu pimbi ww
FRANC THE GREAT said: "Kilichobakia" kitu gani? "Mnachokiwaza" kina nani? Click to expand... Vichwa vyenu vilivyo mafuvu ndio mnawaza eti makombora yatawaripukia wenyewe, usijitoe ufahamu pimbi ww
FRANC THE GREAT JF-Expert Member Joined May 27, 2016 Posts 5,500 Reaction score 8,060 Oct 14, 2020 #122 STRUGGLE MAN said: Vichwa vyenu vilivyo mafuvu ndio mnawaza eti makombora yatawaripukia wenyewe, usijitoe ufahamu pimbi ww Click to expand... Usijadili kitu usichokijua. Nimeweka rejea kwa wasiofahamu kama wewe, nenda kasome kwanza.
STRUGGLE MAN said: Vichwa vyenu vilivyo mafuvu ndio mnawaza eti makombora yatawaripukia wenyewe, usijitoe ufahamu pimbi ww Click to expand... Usijadili kitu usichokijua. Nimeweka rejea kwa wasiofahamu kama wewe, nenda kasome kwanza.
STRUGGLE MAN JF-Expert Member Joined May 31, 2018 Posts 8,633 Reaction score 16,586 Oct 14, 2020 #123 FRANC THE GREAT said: Usijadili kitu usichokijua. Nimeweka rejea kwa wasiofahamu kama wewe, nenda kasome kwanza. Click to expand... Ndio nikakwambia kichwa chako fuvu kwa hayo maswali unayouliza wakati taari huko juu jibu ulishaliunga mkono kwa kutoa comment, unajifanya unajua kumbe kichwani empty
FRANC THE GREAT said: Usijadili kitu usichokijua. Nimeweka rejea kwa wasiofahamu kama wewe, nenda kasome kwanza. Click to expand... Ndio nikakwambia kichwa chako fuvu kwa hayo maswali unayouliza wakati taari huko juu jibu ulishaliunga mkono kwa kutoa comment, unajifanya unajua kumbe kichwani empty
T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 12,362 Reaction score 41,886 Oct 14, 2020 #124 FRANC THE GREAT said: Yawalipukie mara ngapi? Rejea mlipuko wa mwaka jana nchini Urusi kutokana na kufeli kwa jaribio la nuclear-armed cruise missile. Click to expand... Mlipuko ulioua watu watano sijui. Wakati hapa nchini mwaka huohuo gari la mafuta liliua zaidi ya idadi unayoijua. Ajari kazini kwenye test site
FRANC THE GREAT said: Yawalipukie mara ngapi? Rejea mlipuko wa mwaka jana nchini Urusi kutokana na kufeli kwa jaribio la nuclear-armed cruise missile. Click to expand... Mlipuko ulioua watu watano sijui. Wakati hapa nchini mwaka huohuo gari la mafuta liliua zaidi ya idadi unayoijua. Ajari kazini kwenye test site
Bullava JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 618 Reaction score 1,002 Oct 16, 2020 #125 Elungata said: US hawana mobile ICBM wanazo silo based ICBM,,zamani walikuwa nazo wakazidemote.. Click to expand... Ina maana hata submarine zao hazina Nuclea missile
Elungata said: US hawana mobile ICBM wanazo silo based ICBM,,zamani walikuwa nazo wakazidemote.. Click to expand... Ina maana hata submarine zao hazina Nuclea missile
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Oct 16, 2020 #126 Bullava said: Ina maana hata submarine zao hazina Nuclea missile Click to expand... Kuna Roadmobile missile na kuna Submarine launched missiles,vitu viwili tofauti
Bullava said: Ina maana hata submarine zao hazina Nuclea missile Click to expand... Kuna Roadmobile missile na kuna Submarine launched missiles,vitu viwili tofauti