Nchi zinazoongozwa na akili ya mtu mmoja huwa hazina uchaguzi au zikifanya uchaguzi basi anateuliwa mtu yule yule kila mwaka. Mtu ana miaka 20 yupo madarakani na hakuna dalili ya kuachia ngazi mpaka afe. Iran, North Korea, Russia, China n.k zinaongozwa na akili za mtu mmoja kwahiyo nchi hizi huwa hazidumu ni suala la muda tu. Katika nchi hizi sheria huwa ni Raisi yaani sheria ndiyo raisi, raisi akisema fanya hivi wote wanafanya, hakuna kuuliza. Hapa ndiyo Marekani anawashinda kwasababu inaongozwa na jopo la watu na raisi anafuata maagizo tu.
Yupo wapo wapi Ghadafi na Libya yake? Cuba ya Fedro Castro bado ipo vile vile kama kipindi cha Fedro? Huyo North Korea au Iran ni suala la muda tu na usifikiri Trump ni mjinga. "All options are on the table" Ni suala la muda tu.