North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

Unaweza kuthibitisha kuwa NK ilianza kutengeneza slaa za nyuklia wakati wa kipindi cha Bush mwaka 2002 na kuanza kumiliki slaa hizo mwaka 2006 kama unavyodai?Au ni porojo tu?
Kipindi bush anaivamia Afghanistan alizitaja nchi tatu ata deal nazo, ikiwa ni kutokana na kufadhili ugaidi na kuwa na silaha za nyuklia nchi hizo ni North Korea, Iraq na Iran, North Korea wakajibu ya kwamba tunazo na mkitia mguu tuu tunakisanua, wakati Iraq walikataa hawana na wakaguzi wa kimataifa chini ya mohamedi elbaradeh walienda kukagua na kuthibitisha ya kwamba hakuna silaha za nyuklia umoja wa mataifa ulipinga kuvamia Iraq lakini bado marekani waliiacha North Korea iliyothibitisha kuwa nazo na wakavamia Iraq. Nakumbuka vizuri Sana hii kitu kwa sababu nilikuwa msikirizaji nzuri Sana wa idhaa ya kiswahili ya dotch velle
 
Nasi Tutayamiliki Hayo Kupitia Ma ~ Professor Wetu
 
Ndio Mkongwe hii dunia sio ya US peke yao kila Taifa lina mamlaka yake sio kupangiwa na hao mabeberu. Wakiamua hela yako iwe haina thamani wanaishusha au kuipandisha. Natamani 2030 Bongoland tufikie leval hiyo.
Inshaaaaaaaaallah km mungu akitujaalia uhai na afya njema
 
We jamaa wewe bogaz kabisa unavyothibitisha kama unafanya kazi pentagon.... Hiv unahisi marekani ni sehemu kama chato hiv au sio?
Nathibitisha US hana mobile ICBM,watu tuko well informed bana,miaka miwili nyuma walianza kufikiria kurudisha mobileicbm lskini bado hawajaunda
 
The planning for a mobile ICBM force exists in almost total secrecy. But in April, Arms Control Today, the monthly publication of the Washington, D.C.-based Arms Control Association, reported that the Air Force is considering building mobile launchers to enter service around 2050 —
 
Kila siku huwa nasema hapa kuwa Trump ni Rais mbumbumbu na muoga sana kuwahi kutokea marekani.Imagine hili bomu limetengenezwa ndani ya utawala wake.Hakuna Rais yoyote wa Marekani aliepita ambae atakubali huu upupu wa korea.
Yaani mtu katumia wanasayansi wake vizuri kuimarisha ulinzi wa nchi yake halafu unasema eti ni upupu? Unataka nchi zoote duniani ziwe zinaagiza silaha usa, israel na urusi tu?

Hata ikitokea leo kuna raisi awe kutoka upinzani au chama tawala akija na sera ya kurutubisha uranium nitamuunga mkono kwa 100%

USA yeye ni nani akae na silaha hizo halafu wengine wasiwe nazo? Eti kwa kijisababu kuwa yeye anao uwezo na utashi wa kukaa na silaha hizo na asizitumie vibaya!! Mkuu kwa andiko lako umeniangusha
 
Tumrudishe bush hata kwa miaka miwili tu
NK kumiliki silaha hizo kuna kosa gani? Mtu katumia wanasayansi wake vyema halafu sisi huku tulio komaa na kusoma nomino na vitenzi tunataka bushi arejee madarakani kwa ajili ya kushughulika na mtu ambaye ana kuza teknolojia yake

Watanzania tunawaza kwa kutumia nini hasa? Kwenye vichwa vyetu tumejaza maziwa mgando au ubongo?
 
uzuri US Army wametulia hawatangazi
Hawa ndio funga kazi sema humu Kuna ushabiki wa kitoto ila miaka ya 60 USA walishaweka nyuklia war heads kwenye orbit Yani huyo Kim wanaweza kumfanya hakuna mpaka mkashangaa.hilo kombora ni teknolojia ya zamani sana
 
Kim weka kigogo svkvma twende.
i work 4 KGB beib
Nalog off
 
Wamarekani bhana wao wana makombora km yote,mwingine akiwa nayo Ni haramu.
Halafu mtanzania wa kwamfuga mbwa anashangilia pale anaposikia U.S imechimba mkwara juu ya silaha ambazo mtu na nchi yake wametumia vyema wanasayansi wao kuboresha eneo la ulinzi. Huwa nawashangaa watamzania wa aina hiyo

Wameshalishwa matango pori wamekuwa kama maroboti yanayoendeshwa na mtu. Yaani hawajiongezi
 
Aisee North Korea Ni mbabe Sana,

Ni ajabu Sana eti USA anaomba mazungumzo na KIM.

wakati Iraq walipotangaza kua na NYUKLIA fasta USA alipeleka moja kwa moja jeshi kumkamata Sadam na kufanya vurugu.

Kwan North Korea Kila siku anazalisha madude mapya na anayaonyesha hadharani.

Nlichogundua,
USA huwa anaonea sana vidagaa, Kwa North Korea amefyata mkia.
Kwanza akijuwa una mitambo na makombora kama hayo huwa anapiga kelele tu, hatakugusa hata kidogo. Sasa usiwe nayo na nchi yako iwe na mafuta, madini na rasilimali na maliasili, UTAJUTA! Wewe angalia wanavyoitolea macho na mate Venezuela, yaani wanaitamani kinoma...wezi waporaji wakatili kuliko viumbe wote duniani..
 
Kizazi cha akina bush kilikuwa ni noma sana na akina Reagan.Walikuwa wakisema achana na silaha za nyuklia au tutakuja kukupiga.Ukiendelea na mishe zako la nyuklia ni wanakuja kukupiga kweli yaani.
Mkuu umetunywesha kahawa hapo.

Bush Huyu hapa chini analilia baada ya North Korea kutest silaha za nyuklia mwaka 2006 (ktk kipindi cha utawala wake Bush).
=====

us-president-bush-phone-white-house-2006-afp-bg.jpg
US will step up ballistic weapons defenses after NKorea nuclear test: Bush
Washington (AFP) Oct 11 - US President George W. Bush said Wednesday that the United States would increase its cooperation with its allies on ballistic weapons defense systems, following North Korea's claim to have carried out a nuclear test explosion. "In response to North Korea's provocation, we will increase defense cooperation with our allies, including cooperation with ballistic missile defense to protect against North Korean aggression, and cooperation to prevent North Korea from exporting nuclear and missile technologies," Bush said at a White House press conference. Photo courtesy of AFP.

by David Millikin
Washington (AFP) Oct 11, 2006

US President George W. Bush vowed Wednesday that North Korea would face "serious repercussions" over its claim to have tested a nuclear bomb for the first time. But Bush also committed his government to seeking a diplomatic rather than military solution to the standoff, and offered Pyongyang a promise of economic help if it backed away from the nuclear brink.

The crisis sparked by North Korea's purported test of a nuclear device on Monday dominated a 70-minute press conference Bush held in the White House Rose Garden.

His appearance coincided with continued negotiations at UN headquarters in New York on a draft sanctions resolution targetting the isolated communist regime of Kim Jong-Il.

Bush said it had yet to be confirmed that Monday's blast was in fact a nuclear detonation. "But this claim itself constitutes a threat to international peace and stability," he said.

"We are working with partners in the region and in the United Nations Security Council to ensure there are serious repercussions for the regime in Pyongyang" as a result of the test, Bush said.

Bush said he had spoken with the leaders of the four other governments leading efforts to halt North Korea's nuclear effort -- Japan, China, South Korea and Russia, and had found unanimous agreement on the need for "a strong Security Council resolution that will require North Korea to abide by its international commitments to dismantle its nuclear programs".
He said the resolution "should specify a series of measures to prevent North Korea from exporting nuclear or missile technologies."
Washington also wants sanctions that would prevent "financial transactions or asset transfers that would help North Korea develop its nuclear missile capabilities," he said.

At the UN, US and Japanese diplomats were pressing a tough sanctions resolution while China, North Korea's closest ally and neighbor, sought to limit punitive measures for fear of bringing about the collapse of the fragile and poverty-stricken Pyongyang regime.

Acknowledging that his administration had often been criticised in the past for taking a "go it alone" approach to foreign policy, Bush said he was today fully committed to working diplomatically through the United Nations.
"That strategy did not work," he said of previous unilateral dealings with North Korea.
"I learned a lesson from that and decided that the best way to convince Kim Jong-Il to change his mind on the nuclear weapons program is to have others send the same message," Bush said.
"Our goals remain clear: peace and security in northeast Asia and a nuclear-free Korean peninsula," he said.
"We will work with the United Nations, we will support our allies in the region, and together we will ensure that North Korea understands the consequences if it continues down its current path," he said.
Bush went on to reiterate offers made in the context of six-nation negotiations last year to help North Korea with economic cooperation, trade and investment in exchange for it giving up nuclear weapons.
"I am saying as loud as I can and as clear as I can that there is a better way forward for North Korea," he said.

North Korea has asserted it needs nuclear weapons to defend itself from aggression by the United States, a possibility Pyongyang has repeatedly raised since the 2003 US-led invasion to oust Iraqi leader Saddam Hussein.
But Bush insisted in his press conference that Iraq was an entirely different situation and that his government had no plans for military action.
"I believe the commander-in-chief must try all diplomatic efforts before we commit our military," Bush said.
"Diplomacy hasn't run its course, and we'll continue working to give diplomacy a full opportunity to succeed," he said.

But the US president also said that in response to North Korea's "provocation, we will increase defense cooperation with our allies, including cooperation with ballistic missile defense to protect against North Korean aggression".
And he refused to rule out eventual military action if North Korea persists with its nuclear threat.
"I obviously look at all the options, all the time," he said.
 
KWANIN wamezidemote mkuu
Sababu marekani imepakana na nchi mbili tu,canada na Mexico,kwingine kote ni maji ukiachia Alaska,lengo la road mobile ni kufanya iwe rahisi kutoka eneo moja hadi lingine kukwepa kushambuliwa mainly toka angani,bahari inailinda sana marekani,kwamba ili ukaishambulie lazima usafiri kilomita elfu kadhaa,watakuwa wameshakuona bado ukiwa kilomita nyingi mno kuwafikia,tofauti na nchi kama russia,china zimepakana na nchi nyingi ambazo zingine ni adui,
Hizo mobile icbm zikaonekana kwao ni useless zinaongeza gharama tu
 
Mkuu kichaa anaposhikilia panga unahitajika umakini kumnyang'anya hata kulikoni mtu mwenye akili akiwa na smg.
Kim ni kichaa ukienda kijinga analipua.

Amini usiamini kuwa Us halali anapanga hila kummaliza kimya kimya bila vita.
Ni ngumu kummaliza Kim kwa silaha lkn kwa mwendo wa Trumph kujishusha kwake na kujifanya mjinga watammaliza huyu ndg kimya kimya. Us hajawahi kuwa mjinga anajua fika huyu ukiingia kichwa kichwa atawaaibisha.
Ni ngumu Sana kumuangusha Kim cause China na Russia tayari wameshakuwa big fish in ocean na ndio wanampa Kim backup.... Imagine if Kim ameweza kuunda balaa kama hilo je Russia itakuwaje !??😀😀😀😀

Dunia imechangamka Sana Hadi raha kuoneana kumepungua now days😀😀
 
Kila siku huwa nasema hapa kuwa Trump ni Rais mbumbumbu na muoga sana kuwahi kutokea marekani.Imagine hili bomu limetengenezwa ndani ya utawala wake.Hakuna Rais yoyote wa Marekani aliepita ambae atakubali huu upupu wa korea.
Mbona Korea walianza kuunda mabomu ya Nyuklia tangu 2006 huko na trump hakuwa madarakani... Katika hili mnamuonea tu.. Yeye ameingia madarakani amekuta tayari mambo Yamesha haribika... Hatua ambayo Nk umefikia kwa sasa ni kubwa mnoo hauwezi kuivamia kichwa kichwa unaweza sababisha vita ya 3 ya dunia....

Muhimu ni kukaa nao chini tu nakufanya nao makubaliano ya kuwaondolea baadhi ya vikwazo na kushirikiana nao kabiashara
 
Back
Top Bottom