North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

North Korea yaonesha 'MONSTER' ICBM, Kombora kubwa mnoo la kinyuklia, katika military parade

Rudi usome korea war,,North korea imeshapigana na marekani pamoja na washirika karibu 30,walichakazwa mpaka wakakubali suluhu,,technically bado wako vitani kwani kulikuwepo na cease fire tu,vita havikuisha
Ha ha haa...kwa hiyo kila mmoja yuko anapasha kwa ajili ya ingwe (round) ya pili.
 
Kwani hayo matangazo ya Kim juu ya makombora yake kila mara yanamlenga nani?
 
viva kiduku Mungu akuzidishie maarifa na ujasiri
natamani mambo haya yafike
Iran
Venezuela
dunia ni yetu sotee hakuna kunyanyasana wala kupangiana namna ya kuishi wakati wee hupangiwi na mtuu
Ndio Mkongwe hii dunia sio ya US peke yao kila Taifa lina mamlaka yake sio kupangiwa na hao mabeberu. Wakiamua hela yako iwe haina thamani wanaishusha au kuipandisha. Natamani 2030 Bongoland tufikie leval hiyo.
 
Mara hooo anaumwa,mara hooo hali yake mbaya,huyu hapa mzima wa afya,katulia kaibuka na ICBM sijui akitulia tena ataibuka na nini.

January walifunga mipaka yao hamna kuingia wala kutoka na kwenye hilo gwaride hamna aliye vaa barakoa.


_114839132_kim.jpg
 
kwa bahati mbaya ikitokea vita ya nuclear hakuna ataeshinda, ndio itakuwa mwisho wa binadamu wote. Ni kama mtego wa panya wanaingia walio na wasiokuwamo
 
Kwani kipindi bush N.k ilikuwa haipo?
Alikuwepo lakini hakuwa na uwezo kama sasa, uwezo wa N.K. ni kutokana na kupuuzwa na Marekani, angethibitiwa haraka hasingegika huku.
 
CCN tushawazoea,mimi habari ninazo ziamini ni za Aljazeera na app yake nime-install kwenye simu.Ila hawa CCN,BBC na Skynews mara nyingi habari zao kwa mataifa ambayo ni maadaui wa nchi zao zinakuwaga fake.
Hata Aljazeer walikuwa zamani sio siku hizi, wako bies sana hasa baada ya kuwekewa blockade na Saudia, Bahrain, UAE na Egypt! Kila siku ni kupiga propaganda dhidi ya maasimu wake!

Aljazeer ilikuwa zamani sio sasa!
 
Korea ni nchi zaifu Sana, wanatumia propaganda kujifariji.
Humo ndani ya hiyo chupa kumewekwa magodoro tupu.

Hahaha. Natania tu.
 
US hawana mobile ICBM wanazo silo based ICBM,,zamani walikuwa nazo wakazidemote..
We jamaa wewe bogaz kabisa unavyothibitisha kama unafanya kazi pentagon.... Hiv unahisi marekani ni sehemu kama chato hiv au sio?
 
N Korea ni kama Israel kiaina flani hivi.
Ufanano wao ni kuwa wanaishi kwa kukingiwa kifua na wababe wa Dunia.

Siku wahisani wakiacha kuzikingia kifua hizi nchi mbili zitakuwa nothing kabisa.

US + western Europe wako nyuma ya Israel wanaipa unconditional support.

China + USSR(RUSSIA now) wako nyuma ya n. Korea wanaipa support ya kutosha.

Ikitokea siku hao patrons wakiwatelekeza hizi nchi zitakuwa za kawaida Sana.

During Korean War kama sio CHINA NA RUSSIA kuingia vitani kulinda N. Korea Leo hii hii nchi ungekua under US.
 
""". Imeomba mazungumzo ya amani yafanyike haraka zaidi ili mpango wa kukabidhi silaha za nyuklia za North Korea ukamilike.""

Kwahiyo kutengeneza watengeneze wao alafu waje kukabidhi tu wengine.
Na hao wanaotaka kukabidhiwa wanataka kuyafanyia nini wao.
[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom