Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya raisi anaye takiwa kulaumiwa kutoidhibiti Nk ni bushi kwa sababu NK imeanza mchakato wa kutengeneza silaa za nyukilia mwaka 2002 na kutangaza kumiliki silaa hizo 2006 ,ina maana NK imeanza mchakato wa kutengeneza na kumiliki hizo silaa chini ya utawala wa Bush kama kuivamia Nk ni kuivamia bushi ndio angetakiwa kuidhibiti kwa sababu kusingekuwa na madhara makubwa ikilinganishwa na sasa.Wapi nimezungumzia masuala ya korea K.kuwepo au kutokuwepo au kufutwa?Kipindi cha Bush walidhibitiwa,hawakuwa na hizi mbwembwe za kutengeneza mabomu ya kutisha namna hii
Mkuu mbona North Korea anaetengeneza silaha hizi hatari tangu miaka mingi iliyopita ya Clinton, Bush wawili, Obama na wengine waliopita?Kila siku huwa nasema hapa kuwa Trump ni Rais mbumbumbu na muoga sana kuwahi kutokea marekani.Imagine hili bomu limetengenezwa ndani ya utawala wake.Hakuna Rais yoyote wa Marekani aliepita ambae atakubali huu upupu wa korea.
Kati ya raisi anaye takiwa kulaumiwa kutoidhibiti Nk ni bushi kwa sababu NK imeanza mchakato wa kutengeneza silaa za nyukilia mwaka 2002 na kutangaza kumiliki silaa hizo 2006 ,ina maana NK imeanza mchakato wa kutengeneza na kumiliki hizo silaa chini ya utawala wa Bush kama kuivamia Nk ni kuivamia bushi ndio angetakiwa kuidhibiti kwa sababu kusingekuwa na madhara makubwa ikilinganishwa na sasa.
Sasa hivi kuidhibiti NK hakiwezekani kabisa na haya yote yameshababishwa na uzembe wa utawala wa Bush.
Angalau Pakistan.. lakini India kwa kipindi like bado us alipinga lakini nguvu kubwa alikosa..USA huwa ana marafiki zake ambao huwa hawagusi
Hebu ww tuambie Sasa wameanza kutengeneza lini.Unaweza kuthibitisha kuwa NK ilianza kutengeneza slaa za nyuklia wakati wa kipindi cha Bush mwaka 2002 na kuanza kumiliki slaa hizo mwaka 2006 kama unavyodai?Au ni porojo tu?
Ndio. NI wakati wa bush 2001 Korea ilianzisha mpango wa makombora ya nyuklia.. siku moja nilikua nikifuatilia stori za Putin kuhusu Korea na makombora..Unaweza kuthibitisha kuwa NK ilianza kutengeneza slaa za nyuklia wakati wa kipindi cha Bush mwaka 2002 na kuanza kumiliki slaa hizo mwaka 2006 kama unavyodai?Au ni porojo tu?
Haufuatilii historia pamoja na mikataba iliyokuwepo.Enzi hizo alidhibitiwa sanaMkuu mbona North Korea anaetengeneza silaha hizi hatari tangu miaka mingi iliyopita ya Clinton, Bush wawili, Obama na wengine waliopita?
We tu ndo hujui Ila hizo missile ziko wazi kabisa .. Minuteman 3 nk.. kisichojulikana ni idadi yake tu..US hawana mobile ICBM wanazo silo based ICBM,,zamani walikuwa nazo wakazidemote..
Sasa mkuu wewe ndiye umetoa data za historia ya NK kuanza kutengeneza bomu la Nyuklia mpaka kumiliki silaha hiyo,wewe ndiye mwenye jukumu la kuthibitisha ulichoandika na wala siyo mimi.Na lengo la kutaka uthibitishe data ulizotoa siyo baya kwa sababu tutajuaje kuwa ni data official na za ukweli au umetoa tu kichwani kwako kama porojo za hapa na pale?Hebu ww tuambie Sasa wameanza kutengeneza lini.
Minuteman ni silo based,land based,siyo RoadmobileWe tu ndo hujui Ila hizo missile ziko wazi kabisa .. Minuteman 3 nk.. kisichojulikana ni idadi yake tu..
Plan za Siri zipo lakini ni Mara chache Sana Siri za silaha za Russia ama US kutojulikana kwa each other..
Sawa mkuuMinuteman ni silo based,land based,siyo Roadmobile
Hii ndiyo jinsi ya kuthibitisha data?Ndio. NI wakati wa bush 2001 Korea ilianzisha mpango wa makombora ya nyuklia.. siku moja nilikua nikifuatilia stori za Putin kuhusu Korea na makombora..
Putin anasema mwaka 2001 alishaambiwa na babake Kim kwamba wako na nyuklia plan ya makombora.. mwaka 2006 nuclear plan ya Korea ilikua wazo zaidi
Unasemaje alidhibitiwa wakati aliweza kutengeneza silaha hatua kwa hatua tangu wakati huo?Haufuatilii historia pamoja na mikataba iliyokuwepo.Enzi hizo alidhibitiwa sana
Duh, vyombo vinavutia na kuita aisee...yaani siku tukimiliki makitu hayo tutakuwa twayaonesha siku za uchaguzi Mkuu (mikwara)😂😂😂
Mkuu, taarifa zaonesha kuwa NK walianza mpango wao wa silaha za nyuklia sio tu 2002 bali ni toka miaka ya 1950s ila ilianza kushtukiwa na jumuia ya kimataifa mwaka 1992. Kwa hiyo hata hao unaowataja kina Bush walishindwa kumdhibiti, na NK iliamua kujiondoa kwenye mikataba hiyo ya kudhibiti silaha hizo mwaka 1994. Na pia ilijiondoa pia ktk makubaliano mengine mwaka 2003.Unaweza kuthibitisha kuwa NK ilianza kutengeneza slaa za nyuklia wakati wa kipindi cha Bush mwaka 2002 na kuanza kumiliki slaa hizo mwaka 2006 kama unavyodai?Au ni porojo tu?
... wajinga wanadhani US hana midude kama hiyo na countermeasures za takataka kama za NK tayari zipo. Changamoto moja inakuja how to minimize casualties (civilians) in case they opt for military resolution. Maana hao hao wanaorusha vibendera mitaani kumtia ujinga "live long Kim" ndio hao hao wa kwanza kulalamika watakapopukutishwa kama dagaa in case of war.uzuri US Army wametulia hawatangazi
Rudi usome korea war,,North korea imeshapigana na marekani pamoja na washirika karibu 30,walichakazwa mpaka wakakubali suluhu,,technically bado wako vitani kwani kulikuwepo na cease fire tu,vita havikuisha... wajinga wanadhani US hana midude kama hiyo na countermeasures za takataka kama za NK tayari zipo. Changamoto moja inakuja how to minimize casualties (civilians) in case they opt for military resolution. Maana hao hao wanaorusha vibendera mitaani kumtia ujinga "live long Kim" ndio hao hao wa kwanza kulalamika watakapopukutishwa kama dagaa in case of war.
Wakati Kim akili yake ni "how to maximize casualties" (terrorist approach); US yeye ni tofauti "how to minimize them". Hapo ndipo mtihani ulipo.