North Korea yasema imefanya jaribio la kutengeneza mfumo wa setilaiti ya udukuzi wa kivita (millitary reconnaissance satellite)

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
North Korea imesema ilicheki ufanisi wa mifumo ya kamera na mifumo mingine ktk jaribio lake muhimu zaidi la kutengeneza setilaiti ya udukuzi wa kivita. Hayo yanajiri baada ya nchi hiyo kulaumiwa jana kwa kurusha kombora la balistiki.

Setiliti hizi hutumika ktk oparesheni za kijeshi na kiinteligensia.

The test, which occurred on Sunday, "is of great significance in developing the reconnaissance satellite," the state news agency report said.

The test apparently helped confirm "the characteristics and working accuracy of a high-definition photographing system, data transmission system and attitude control devices" by conducting "vertical and oblique photographing of a specific area on earth," the KCNA reported.

State media also released two photos of the Korean Peninsula as seen from space.
 
Marekani nato wakipeleka pua Ukraine ujue huyu,Iran lazima amjoin mrusi huyu jamaa anataman Hata sasa kujoin sema basi tu hahahahahahhahahaha
 
The test apparently helped confirm "the characteristics and working accuracy of a high-definition photographing system, data transmission system and attitude control devices" by conducting "vertical and oblique photographing of a specific area on earth
 
mmehamia uku tena!!!. nyie kila timu mnayoishabikia ni lazima ipoteze, mjitathimini aisee.
Mmempigia filimbi putin weeee kapoteza mmerudi kwa kiduku.. ila ili kiduku ashinde katika jambo lolote inabidi kwanza akatae mapambio yenu kwasababu mnamkosi fulan hivi haiwezekani kila mnachokishabikia ni lazima kiingie Doa.
 
Ye
Marekani nato wakipeleka pua Ukraine ujue huyu,Iran lazima amjoin mrusi huyu jamaa anataman Hata sasa kujoin sema basi tu hahahahahahhahahaha

Korea Kaskazini Ni mpiga kelele tu, Hana madhara. Ukiona unapiga kelele na watu wanakuangalia lazima ujishtukie. Kuna siku ataingia kwenye mtego Kama wa Urusi. Yani NATO wanachofanya wanamchezesha Urusi Vita vingi, wamempeleka Venezuela, wamempeleka Syria na Sasa wamempeleka Ukraine. Halafu Sasa wanampiga na vikwazo vya kiuchumi huku wanampigisha Vita kill uchao.
 
Huyo prof ni kichaa kweli, kumbe kutetea nchi yako ni kosa. Yani Tanzania ivamiwe na Uganda halafu raia wakimbie wamwachie nchi mvamiaji?. Tena Rais ametaka Wanachi wengine nje ya nchi wajiunge na jeshi la kulinda Ukraine. Mbona yet na Mugabe wameua raia wengi wa Zimbabwe kipindi wanatawala.
 
Korea Kaskazini Ni mpiga kelele tu, Hana madhara. Ukiona unapiga kelele na watu wanakuangalia lazima ujishtukie.
Acha kuongopa mchana kweupe...

US, Japan, South Korea kila kukicha wanabweka na kupiga mayowe Kim akifanya mambo yake nchini mwake

Ukweli ni kwamba hawana cha kumfanya North Korea zaidi ya kulaani na kuweka vikwazo kila kukicha.

Uwe unafatilia habari kwenye vyanzo vya kimataifa kabla ya kutulisha matango pori

Marekani nato wakipeleka pua Ukraine ujue huyu,Iran lazima amjoin mrusi huyu jamaa anataman Hata sasa kujoin sema basi tu hahahahahahhahahaha
Nini kinamzuia sasa hivi asijoin?
 
Huyo prof ni kichaa kweli, kumbe kutetea nchi yako ni kosa. Yani Tanzania ivamiwe na Uganda halafu raia wakimbie wamwachie nchi mvamiaji?. Tena Rais ametaka Wanachi wengine nje ya nchi wajiunge na jeshi la kulinda Ukraine. Mbona yet na Mugabe wameua raia wengi wa Zimbabwe kipindi wanatawala.
Mambo ya sheria za vitani na kuwalinda raia huwezi kuzifahamu wewe kama hata mambo yaliyo wazi tu US, Japan, South Korea + NATO kulalama na kubweka juu ya majaribio ya makombora ya North Korea huyajui
 
Marekani nato wakipeleka pua Ukraine ujue huyu,Iran lazima amjoin mrusi huyu jamaa anataman Hata sasa kujoin sema basi tu hahahahahahhahahaha
Kwa logistics zipi?
 
Marekani nato wakipeleka pua Ukraine ujue huyu,Iran lazima amjoin mrusi huyu jamaa anataman Hata sasa kujoin sema basi tu hahahahahahhahahaha
JF kuna watoto sana.
 
Back
Top Bottom