North Korea yatesti hypersonic missile, kombora linalosafiri na spidi kubwa zaidi ambayo ni mara ishirini ya ile spidi ya sauti

North Korea yatesti hypersonic missile, kombora linalosafiri na spidi kubwa zaidi ambayo ni mara ishirini ya ile spidi ya sauti

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
210928233740-north-korea-hypersonic-missile-0928-exlarge-169.jpg

Picha ya Hwasong-8, kombora la hypersonic liliorushwa na North Korea

North Korea imesema kuwa imefanikiwa kufanya jaribio la hypersonic missile, kombora linalosafiri maradufu kuliko sauti. Wataalamu wa mambo ya silaha wanasema kuwa kombora hilo ni miongoni mwa makombora yanayotembea kwa spidi kubwa zaidi duniani na yana shabaha zaidi ktk kushambulia tageti halikadhalika yanaweza bebeshwa kichwa cha silaha za nyuklia.

Wachambuzi wa mambo ya silaha wanasema makombora ya jamii hiyo huweza kusafiri na spidi ambayo ni mara ishirini ya ile spidi ya sauti, na huwa na uwezo mkubwa wa kubadili badili muelekeo ktk urukaji/njia yake kiasi kwamba huwa ni vigumu sana kudunguliwa na mifumo ya ulinzi ya anga.

Kama North Korea watafanikiwa kuzalisha makombora hayo na kuyaingiza ktk matumizi basi makombora hayo yatabadili msawazo wa nguvu za kijeshi (military equation) na nchi jirani zake.

=============

Hong Kong (CNN)The hypersonic missile North Korea claims to have tested on Tuesday has the potential to be one of the world's fastest and most accurate weapons -- and could be fitted with a nuclear warhead, experts say.

While the exact specifications of North Korea's hypersonic Hwasong-8 missile are not yet known, missiles with hypersonic glide vehicles can theoretically fly as fast as 20 times the speed of sound and can be very maneuverable in flight, making them almost impossible to shoot down, according to experts.

If North Korea can successfully produce and deploy a hypersonic weapon, analysts say it could even change the military equation in the region.

What North Korea claims to be a new hypersonic missile launched on Tuesday.

"If true, it means current South Korean and Japanese missile defense systems become close to impotent," said Lionel Fatton, an assistant professor at Webster University in Switzerland and researcher at Meiji University in Japan.

Those systems are designed for defense against ballistic missiles, which descend on their targets from much higher altitudes than hypersonics.

"A hypersonic missile that can defeat advanced missile-defense systems is a game changer if a nuclear warhead is mated to it," said Drew Thompson, a former US Defense Department official and a visiting senior research fellow at the Lee Kuan Yew School of Public Policy at the National University of Singapore. But he cautioned, "that's a huge if. Having it and wanting it are not the same thing."

Pyongyang's state-run Korean Central News Agency (KCNA) said developing the "strategic" weapon was one of the five "top-priority tasks of the five-year plan" for the country's defense.
 
Hapo ndiyo Marekani anawazidi akili. Marekani kajikita hasa kwenye uchumi
Vita vya sasa siyo vile vya vita ya kwanza na ya pili ya dunia (vya ubabe) Watu wanapigana vita vya kiuchumi.
Pamoja na silaha zote lkn bado anawekewa vikwazo vya kiuchumi na Marekani
Angewekeza kuwatafutia Chakula watu wake angefanya jambo jema sn kuliko hayo makombora
 
Mashirika ya jamii kama hiyo yoote ni switch za USA, kwanini marekani asisitishe msaada huo kwa kiduku?
Hilo mm sijui ila msaada wa chakula North korea inapokea.Na mashirika ya UN hayasimamiwi na USA peke ake kuna mataifa matano yenye kauli ktk kuiongoza UN kwahyo tusidanganyane eti USA ndio anashikilia kila kitu UN.
Tusidanganyane North Korea kiuchumi iko chini kuliko hata South Korea kama hz effort North korea angewekeza ktk kujenga uchumi angekua mbali sana.
Na tukubali tukatae North korea is food insecure kama Kenya.
 
Acha ubishi dogo, tuna ndugu zetu wanaishi huko N/Korea, hawana elimu yoyote na wanafanya vibarua visivyo na mikataba ya kudumu.

Wana magorofa DSM ya kutosha, usijikalie tu hapo kama furushi la mtumba ukaambiwa uongo na kuamini bila kuchanganua kwa akili yako ya kuzaliwa.

Toka nnje ya boksi ili uone dunia inaendaje.
 
Doh!!
Tuheshimiane mkuu hujui umri wangu usiniite dogo.
Pili kuna uhuru wa kutoa hoja mm nimetoa hoja wala sijabishana.
Kama unataka unikosoe toa hoja siyo mipasho hatujuani sawa mkuu??
Watu wapo Rwanda na wana survive sembuse North Korea??
 
Nimekuita dogo kwa upeo ulionao wala si kwa umri, samahani nikiwa nimekukwaza lakini achana na propaganda za vijiweni hata kama una uhuru wa kutoa maoni.
 
Mashirika ya jamii kama hiyo yoote ni switch za USA, kwanini marekani asisitishe msaada huo kwa kiduku?
Mkuu acha kupenda ligi za kitoto, toka zamani ina julikana kabisa, kuwa N.Korea anapewa msaada wa chakula , kupitia mashirika ya umoja wa mataifa, kutokana na mikataba ya kimataifa USA, hana uwezo wa kuzuia chakula kisiende huko, kwani ugomvi wake ni serikali na sio wananchi, hata leo hii Afganistan wanapelekewa chakula licha ya kuwa chini ya Wahuni(Tariban)
Na ndio maana rafiki yake mkubwa ni china, japo urafiki wa china msaada wake ni mdogo sana.
 
Acha ubishi dogo, tuna ndugu zetu wanaishi huko N/Korea, hawana elimu yoyote na wanafanya vibarua...
Huna ndugu huko acha uongo.......hakuna mbeba boksi N/Korea maana hata uchumi wao ni choka mbaya tu.

Hiyo nchi ya kijamaa haina fursa yoyote ya kuvutia vibarua kutoka nchi za nje.
 
Mkuu acha kupenda ligi za kitoto, toka zamani ina julikana kabisa, kuwa N.Korea anapewa msaada wa chakula , kupitia mashirika ya umoja wa mataifa, kutokana na mikataba ya kimataifa USA, hana uwezo wa kuzuia chakula kisiende huko, kwani ugomvi wake ni serikali na sio wananchi, hata leo hii Afganistan wanapelekewa chakula licha ya kuwa chini ya Wahuni(Tariban)
Na ndio maana rafiki yake mkubwa ni china, japo urafiki wa china msaada wake ni mdogo sana.
Wewe ndio unaleta ubishi wa kitoto, mara ngapi huyo USA anaweka vikwazo na wananchi wanaumia.

Kuwa serious serious kidogo chief.
 
Back
Top Bottom