Norway imeituhumu China kwa kushambulia Barua Pepe za Bunge lake

Norway imeituhumu China kwa kushambulia Barua Pepe za Bunge lake

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Serikali ya Norway imeituhumu China kwa kuhusika na mashambulio ya kimtandao katika mifumo ya Bunge lake mnamo mwezi machi 2021.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Ine Eriksen Soereide amesema uchunguzi umebaini kuwa mashambulizi hayo kwenye mfumo wa barua pepe yalifanywa kutoka China.

Asema Balozi wa China Nchini Norway wamemuita kwa ajili ya kutoa maelezo.
======

The Norwegian government has claimed that Chinese hackers were responsible for a cyberattack on the country’s parliament in March this year, and called on Beijing to tackle and prevent such “malicious” activities.

In a statement on Monday, Norway’s Foreign Minister Ine Eriksen Soereide said that an investigation into an attack on the national parliament’s email system on March 10 concluded that the attack “was carried out from China.”

She said that several of Norway’s allies, the European Union and Microsoft had also confirmed the findings of the country’s intelligence services. The attacks had targeted a security hole in Microsoft's Exchange software, the minister said.

“This is a serious incident which has hit our most important democratic institution,” she noted.

Eriksen Soereide said the Chinese ambassador to Norway had been summoned to discuss the issue, adding that she hoped Beijing would take the matter very seriously. “Chinese authorities must prevent such attacks from taking place,” she stated.

J.K. Rowling doubles down in trans toilet use debate as troll hopes she receives pipe bomb in the mail
The minister’s comments came as the UK, US, Canada and the EU accused China and its Ministry of State Security of a global cyber hacking campaign linked with an earlier attack on Microsoft.

“The cyberattack on Microsoft Exchange Server by Chinese state-backed groups was a reckless but familiar pattern of behavior,” said British Foreign Secretary Dominic Raab in a statement on Monday.

In March, Microsoft announced that a cyber breach had affected tens of thousands computers worldwide. The firm blamed “a group assessed to be state-sponsored and operating out of China.”

The Chinese government is yet to respond to Monday’s accusations, but has previously denied Microsoft’s claims of involvement.
 
Someni kwanza ufafanuzi wa jasusi mbobezi wa Merikani aliye kimbilia uhamishoni Urusi miaka ya nyuma - alieleza kwa kina mbinu zinazo tumiwa na taasisi za kijasusi za huko Merikani kwa lengo la kuyafanya mataifa yasielewane, kuchochea vurugu na kutumia teknolojia ya tehama ku-hack mpaka so called marafiki zake kwa kupandikiza vihashiria kwenye servers au routers zinazo kuwa hacked na majasusi was kimerikani ili uchunguzi ukifanyika kwa muathirika uonyeshe kwamba wahusika ni Wachina au Warusi wakati hiyo si kweli, katika harakati zao za kutaka kuchota akili zaidi wachunguzi/wafatiliaji wa tukio,basi mijasusi ya tehama utumbukiza mpaka erufi za kiurusi urusi au character (maandishi) ya kichina ili ionekane ndio wahusika wakuu walio hack servers,nodes na routers za victims - a very clever ploy indeed.

Sasa Norway huo ndio mchezo alio chezewa na mijasusi ya Uncle SAM, halafu Norway bila ya kutafakari mambo inakwenda kuwalahumu Wachina!! After all Uchina ina interest gani na nchi ndogo kama Norway ambayo si tishio kwa China si kwa kichumi wala kijeshi?

Ukichunguza kwa umakini utaguduwa kwamba huu ni mwendelezo wa dirty campaign dhidi ya Uchina and the brains behind all these stuff ni US - kumbukeni mkutano wa G7 main topic ilihusu Taifa gani kama sio Uchina, wana acha kuzungumzia uchumi wa Dunia badala yake wanaishutumu China 24X7, walipo kaa kwenye kikao cha ushirika wa NATO mambo yakajirudia kuzisakama Uchina na Urusi kwa kuwazulia shutuma chungu mzima.

Latest mbinu zinazo sukwa na Biden dhidi ya Uchina hivi sasa akishirikiana na W.H.O pamoja na Uingereza wana shinikiza eti uchunguzi wa chanzo cha COVID-19 urudiwe kwa mara nyingine tena, lengo lao likiwa ni kutaka kuilahumu Uchina kwamba maabara zake ndio zilihusika kuzalisha virus ili USA ipate kisingizio cha kujenga hoja ya kushurutisha International Community kuitenga Uchina halafu wajenge hoja ya kuilizimisha Serikaki ya Uchina kulipa fidia Mataifa yote Duniani yaliyo athiliwa na ugonjwa wa COVID-19 ili mwisho wa siku Uchina i-run bankrupt isiwe tishio tena kiuchumi na kijeshi dhidi ya Merikani, hili ndilo lengo kuu la Biden and his like mind - saula hili Biden kalivalia njuga kweli kweli, Uchina ikisema kwamba uchunguzi wa maabara ya kijeshi yafanyike vile vile kwenye kambi ya kijeshi ya Fort Detrick huko Merikani, Biden hilo hataki kulisikia kabisa kazi kuwalahumu wenzake.
 
Back
Top Bottom