Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakushikilia nchi akijua mfalme atarudi na hiyo protectorate haikuwa na maana kama Protectorate ya Tanganyika. MSoma sababu nzima ya kuutoa ufalme na kwanini ulirudi, na huyo jamaa alishikilia nchi kama protectorate tu akijua ufalme utarudi, ni kama Tanganyika ilipopewa kwa Muingereza baada mjerumani kushindwa vita, alipewa nchi aiandae kwa uhuru baas..... Na sababu za hao jamaa zilikua kidini zaidi kuliko upepo ulivyo sasa, na huyo jamaa alikua kwenye kundi la wanaotaka ufalme wa kikatiba na sio "absolute monarchy" . Kwahio jamaa hakupinga ufalme bali alipinga aina ya ufalmeView attachment 2613503