Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
kaka na wewe umeondoka pale umeridhika na majibu uliyopewa wala hujatoa chozi....!??hivi tutakubali kuonewa mpka lini na vipi kuhisu kuappeal..!??
Hii ndo tanzania,nchi yenye udongo wenye dhambi.EPA,RICHMOND,KIWIRA,RADAR,jumla tsh ngap hapo?.Alafu heslb wanasema hawana fedha.