Not secured=no loan

Not secured=no loan

kaka na wewe umeondoka pale umeridhika na majibu uliyopewa wala hujatoa chozi....!??hivi tutakubali kuonewa mpka lini na vipi kuhisu kuappeal..!??

Hii ndo tanzania,nchi yenye udongo wenye dhambi.EPA,RICHMOND,KIWIRA,RADAR,jumla tsh ngap hapo?.Alafu heslb wanasema hawana fedha.
 
kaka na wewe umeondoka pale umeridhika na majibu uliyopewa wala hujatoa chozi....!??hivi tutakubali kuonewa mpka lini na vipi kuhisu kuappeal..!??

Kesho naenda tena manina zao mpka kieleweke
 
vipi kuhusu 30000 zetu tulizowapa,shukran ya punda mateke...Mungu yupo lakini.
 
Back
Top Bottom