Note book Tz 2030

Note book Tz 2030

IMG_20240728_001017_159.jpg

Bandiko lako limekaa ki Katavi Katavi sana mi naogopa kuchangia Mkuu.
 
Duniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.

Ukiridhika sana hata penye shida utaona pako sawa.

Ukiiona shida ukaikalia kimya, ukasubiri mwingine aje aitatue wakati wewe uliyeiona wa kwanza ujachukua hatua yoyote wewe ni tatizo

Sifa Moja wapo kwako itakuwa ni kulaumu na kutupia lawama wengine Kuwa hawaioni shida uliyoIona na hawachukui hatua

Kichwani kwako umesha jiaminisha kuwa wewe huna uwezo au power ya kufanya utatuzi wa shida hiyo bali wengine wanayo

Umesahau kuwa wale wengine unaodhani watakutatulia shida yako kumbe nguvu Yao imetoka kwako

Usaliti utauona kumbe umeanza kujisaliti wewe, na mbaya zaidi Kwa kuwa huongei basi wale uliodhani wataongea wakijua unajua na ujaamua kuhoji, basi kwao ni fursa ya kukuumiza na kukuchafua

Kwa msingi huu kunahaja ya kuweka wazi hisia zako wazi kuwa unayo vita na unao wajua na hii Vita itapiganwa, vita tutashinda, plan yoyote against lengo ama goals zilizopo itashughulikiwa effectively

Miandiko yenu ipo mezani, mlichoandika, andikiwa mlicho semezana adharani ama gizani, mliowaandikia na mliowapa wanakili ili waya ariri na kuya chapisha woote tutaonana, iwe kupitia TAARIFA, memo, note, au TANGAZO woote tutafikiwa na Kuonana

Nawakumbisha msisahau KUHOJI
Sawa
 
Chochote unachopitia usikate tamaa

Mlilie Mwenyezi Mungu muweza wa yote atasikia kilio chako

Tunajenga nchi moja; ila tuna sababu tofauti. (Selfish vz Selfless)
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Duniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.

Ukiridhika sana hata penye shida utaona pako sawa.

Ukiiona shida ukaikalia kimya, ukasubiri mwingine aje aitatue wakati wewe uliyeiona wa kwanza ujachukua hatua yoyote wewe ni tatizo

Sifa Moja wapo kwako itakuwa ni kulaumu na kutupia lawama wengine Kuwa hawaioni shida uliyoIona na hawachukui hatua

Kichwani kwako umesha jiaminisha kuwa wewe huna uwezo au power ya kufanya utatuzi wa shida hiyo bali wengine wanayo

Umesahau kuwa wale wengine unaodhani watakutatulia shida yako kumbe nguvu Yao imetoka kwako

Usaliti utauona kumbe umeanza kujisaliti wewe, na mbaya zaidi Kwa kuwa huongei basi wale uliodhani wataongea wakijua unajua na ujaamua kuhoji, basi kwao ni fursa ya kukuumiza na kukuchafua

Kwa msingi huu kunahaja ya kuweka wazi hisia zako wazi kuwa unayo vita na unao wajua na hii Vita itapiganwa, vita tutashinda, plan yoyote against lengo ama goals zilizopo itashughulikiwa effectively

Miandiko yenu ipo mezani, mlichoandika, andikiwa mlicho semezana adharani ama gizani, mliowaandikia na mliowapa wanakili ili waya ariri na kuya chapisha woote tutaonana, iwe kupitia TAARIFA, memo, note, au TANGAZO woote tutafikiwa na Kuonana

Nawakumbisha msisahau KUHOJI
Na Sasa Mimi nahoji hizo tetesi za huko Cuba Kwa pole pole Zina ukweli!!?
 
Kwahiyo na wale jamaa wajiitao the state wanaotow jumne zao humu mnawajua!!?

Ngoja tusubiri tuone!
 
Back
Top Bottom