Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Vita gani tena jamani wakati tulikubaliana Tanzania ni Nchi ya Amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lini utaendelea na ule uzi wetu pendwa wa dark days Mkuu?????😢😢Worry not
SawaDuniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.
Ukiridhika sana hata penye shida utaona pako sawa.
Ukiiona shida ukaikalia kimya, ukasubiri mwingine aje aitatue wakati wewe uliyeiona wa kwanza ujachukua hatua yoyote wewe ni tatizo
Sifa Moja wapo kwako itakuwa ni kulaumu na kutupia lawama wengine Kuwa hawaioni shida uliyoIona na hawachukui hatua
Kichwani kwako umesha jiaminisha kuwa wewe huna uwezo au power ya kufanya utatuzi wa shida hiyo bali wengine wanayo
Umesahau kuwa wale wengine unaodhani watakutatulia shida yako kumbe nguvu Yao imetoka kwako
Usaliti utauona kumbe umeanza kujisaliti wewe, na mbaya zaidi Kwa kuwa huongei basi wale uliodhani wataongea wakijua unajua na ujaamua kuhoji, basi kwao ni fursa ya kukuumiza na kukuchafua
Kwa msingi huu kunahaja ya kuweka wazi hisia zako wazi kuwa unayo vita na unao wajua na hii Vita itapiganwa, vita tutashinda, plan yoyote against lengo ama goals zilizopo itashughulikiwa effectively
Miandiko yenu ipo mezani, mlichoandika, andikiwa mlicho semezana adharani ama gizani, mliowaandikia na mliowapa wanakili ili waya ariri na kuya chapisha woote tutaonana, iwe kupitia TAARIFA, memo, note, au TANGAZO woote tutafikiwa na Kuonana
Nawakumbisha msisahau KUHOJI
Hata jina sio sahihi🤣🤣.Sijui kwanini napata ugumu kuamini kama huyu ni yoga. Yaani jina tu ndiyo sahihi lakini vitu vingine vyote ni kama siyo yeye yaani huyu yoga wa Note book duh.
Duniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.
Ukiridhika sana hata penye shida utaona pako sawa.
Ukiiona shida ukaikalia kimya, ukasubiri mwingine aje aitatue wakati wewe uliyeiona wa kwanza ujachukua hatua yoyote wewe ni tatizo
Sifa Moja wapo kwako itakuwa ni kulaumu na kutupia lawama wengine Kuwa hawaioni shida uliyoIona na hawachukui hatua
Kichwani kwako umesha jiaminisha kuwa wewe huna uwezo au power ya kufanya utatuzi wa shida hiyo bali wengine wanayo
Umesahau kuwa wale wengine unaodhani watakutatulia shida yako kumbe nguvu Yao imetoka kwako
Usaliti utauona kumbe umeanza kujisaliti wewe, na mbaya zaidi Kwa kuwa huongei basi wale uliodhani wataongea wakijua unajua na ujaamua kuhoji, basi kwao ni fursa ya kukuumiza na kukuchafua
Kwa msingi huu kunahaja ya kuweka wazi hisia zako wazi kuwa unayo vita na unao wajua na hii Vita itapiganwa, vita tutashinda, plan yoyote against lengo ama goals zilizopo itashughulikiwa effectively
Miandiko yenu ipo mezani, mlichoandika, andikiwa mlicho semezana adharani ama gizani, mliowaandikia na mliowapa wanakili ili waya ariri na kuya chapisha woote tutaonana, iwe kupitia TAARIFA, memo, note, au TANGAZO woote tutafikiwa na Kuonana
Nawakumbisha msisahau KUHOJI
Na Sasa Mimi nahoji hizo tetesi za huko Cuba Kwa pole pole Zina ukweli!!?Duniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.
Ukiridhika sana hata penye shida utaona pako sawa.
Ukiiona shida ukaikalia kimya, ukasubiri mwingine aje aitatue wakati wewe uliyeiona wa kwanza ujachukua hatua yoyote wewe ni tatizo
Sifa Moja wapo kwako itakuwa ni kulaumu na kutupia lawama wengine Kuwa hawaioni shida uliyoIona na hawachukui hatua
Kichwani kwako umesha jiaminisha kuwa wewe huna uwezo au power ya kufanya utatuzi wa shida hiyo bali wengine wanayo
Umesahau kuwa wale wengine unaodhani watakutatulia shida yako kumbe nguvu Yao imetoka kwako
Usaliti utauona kumbe umeanza kujisaliti wewe, na mbaya zaidi Kwa kuwa huongei basi wale uliodhani wataongea wakijua unajua na ujaamua kuhoji, basi kwao ni fursa ya kukuumiza na kukuchafua
Kwa msingi huu kunahaja ya kuweka wazi hisia zako wazi kuwa unayo vita na unao wajua na hii Vita itapiganwa, vita tutashinda, plan yoyote against lengo ama goals zilizopo itashughulikiwa effectively
Miandiko yenu ipo mezani, mlichoandika, andikiwa mlicho semezana adharani ama gizani, mliowaandikia na mliowapa wanakili ili waya ariri na kuya chapisha woote tutaonana, iwe kupitia TAARIFA, memo, note, au TANGAZO woote tutafikiwa na Kuonana
Nawakumbisha msisahau KUHOJI
Kwahiyo na wale jamaa wajiitao the state wanaotow jumne zao humu mnawajua!!?Duniani tunapita, hatudumu, tusikose kuwa na kiasi.