Haha dala $ inapunguza uzito wa kuona pesa ni nyingi sioNdo maana nikiwa na forex balance napenda sana kulipa in $$.
Nilipoiona hii habari kwa mara ya kwanza saa kadhaa zilizopita; 54G niliichukulia kwa uzito mdogo lakini hiyo milioni mia moja na ngapi cjui imenitisha kwelikweli.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] kabisa aisee kuna kipindi nilichoma usd 200 nikaona ndogo kuzileta kwa Tsh wallahi unaweza kujitusi. Now naweza withdraw hata 500usd nikaona ndogo ikiingia mpesa heee kumbe M na upuuzi.Ndo maana nikiwa na forex balance napenda sana kulipa in $$.
Nilipoiona hii habari kwa mara ya kwanza saa kadhaa zilizopita; 54G niliichukulia kwa uzito mdogo lakini hiyo milioni mia moja na ngapi cjui imenitisha kwelikweli.
Haha dala $ inapunguza uzito wa kuona pesa ni nyingi sio
Wakati wa kufanya manunuzi $$ zinapunguza sana maumivu!! Nilizipenda zaidi $$ cku nimeangalia bei ya nyumba za NHC (Penthouse)... ONLY 352G.[emoji38] [emoji38] [emoji38] kabisa aisee kuna kipindi nilichoma usd 200 nikaona ndogo kuzileta kwa Tsh wallahi unaweza kujitusi. Now naweza withdraw hata 500usd nikaona ndogo ikiingia mpesa heee kumbe M na upuuzi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijamwona jamaa fulani....
Jiandae team yake ifike 😀